Uhamiaji watangaza ajira

Uhamiaji watangaza ajira

Tambo zote za nn ?? Unajua huu Uzi unapitiwa na watu wa aina gan ?ebu tulia mdogo wangu hata kama una mbanga punguza tambo hiv jkt mnaenda kujifunza upuuzi unaofanya hapa ?? Hii program ya mujibu naona haina faida kabsa kama vijana waonawazalisha ndo wanakua wajinga na wehu kbsa eti na nyinyi muwe viongozi wa badae shame on u..ficha ujinga wako kijana
Kwenye huo msafara wa Mamba Kenge hatuwezi kukosa, Sifa kuwa mwepes sasa kama wewe ulijitolea alafu unajikuta mzito utakaa kando tu habari ndio hiyo.

Uzuri ni kwamba wewe Service Man ambaye mimi wa mujibu nilikutangulia kuanza kozi japo ni ya miezi3 hakuna utakacho nifanya, maafisa wakichachamaa kikubwa ntapigishwa doso ambalo kimsingi ni la kawaida na ukweli ni kwamba kufa sitokufa.

Tunawajua vizuri baadhi yenu nyinyi wa kujitolea huwa mna wivu na roho mbaya mno tena sana kwa kuwa vijana wengi wa mujibu walio bahatika kuingia kwenye majeshi, waliingia kwa uhitaji maalum na ndio hao baadhi ni viongozi wenu tayari mnawaita "Afande kila siku" na bado wengine wapo kwenye kozi maalum wanakuja kuwa viongozi wenu kwaiyo mtaendelea kuwaita "Afande" mpaka mwisho wa utumishi wenu.

Shame on You usipende kudharau kozi ambazo Serikali imeweka tena kwa mujibu wa sheria. Inamaana walio tunga hizo sheria walikuwa hawana akili?? Na je, hayo majeshi yanayo chukua vijana wa mujibu na kuwapeleka depo kwaajili ya kozi maalum wao ni vilaza?? Kwanin wasiwachukue nyie kama kozi ya mujibu wa sheria haina maana kwao??

Mnapenda kujikuta maafande tayari wakati kimsingi nyinyi bado ni raia tu mlikuwa mnalima mashamba tu na kulisaidia taifa katika shughuli za uzalishaji Mali.
Habari ndio hiyo.
 
imeisha hamna atakaeenda, naona ajira zmekua mgumu mnataka kututoa pua,

yaani nyie wa kujitolea ata makambini ua hamtupendi kabisa afadhali ya maafande,

basi mimi binafsi msjije kunitoa, uvungu
Tunawajaua vizuri tu waache wapge mikwala yao humu lakini BOGI lazima livamiwe. Maafisa ambao wapo chomboni wanajua hali halisi mtaani na uzuri ni kwamba kwenye majeshi yetu hakuna formula huko kwaiyo hao wanao jikuta ati ni maafande wakati bado ni raia tu wasikariri na wanalijua hilo huwa hakuna formula huko na ndio maana J.mosi wanaenda wote Mgulani badala usaili kama huo ungekuwa unashafanyika huko kwenye kambi za malezi kimya kimya bila kuwaza kuwa Kenge watavamia Bogi.
 
Kwenye huo msafara wa Mamba Kenge hatuwezi kukosa, Sifa kuwa mwepes sasa kama wewe ulijitolea alafu unajikuta mzito utakaa kando tu habari ndio hiyo.

Uzuri ni kwamba wewe Service Man ambaye mimi wa mujibu nilikutangulia kuanza kozi japo ni ya miezi3 hakuna utakacho nifanya, maafisa wakichachamaa kikubwa ntapigishwa doso ambalo kimsingi ni la kawaida na ukweli ni kwamba kufa sitokufa.

Tunawajua vizuri baadhi yenu nyinyi wa kujitolea huwa mna wivu na roho mbaya mno tena sana kwa kuwa vijana wengi wa mujibu walio bahatika kuingia kwenye majeshi, waliingia kwa uhitaji maalum na ndio hao baadhi ni viongozi wenu tayari mnawaita "Afande kila siku" na bado wengine wapo kwenye kozi maalum wanakuja kuwa viongozi wenu kwaiyo mtaendelea kuwaita "Afande" mpaka mwisho wa utumishi wenu.

Shame on You usipende kudharau kozi ambazo Serikali imeweka tena kwa mujibu wa sheria. Inamaana walio tunga hizo sheria walikuwa hawana akili?? Na je, hayo majeshi yanayo chukua vijana wa mujibu na kuwapeleka depo kwaajili ya kozi maalum wao ni vilaza?? Kwanin wasiwachukue nyie kama kozi ya mujibu wa sheria haina maana kwao??

Mnapenda kujikuta maafande tayari wakati kimsingi nyinyi bado ni raia tu mlikuwa mnalima mashamba tu na kulisaidia taifa katika shughuli za uzalishaji Mali.
Habari ndio hiyo.
Mmmm doh! Dada/kaka umeandika kwa hisia Magufuli atatutoa roho na hizi ajira, mshaanza kupigana kwenye comment sasa hiyo siku ya interview itakuaje?
 
, yaani kashuka hasa

ila kama ulienda jkt ukawakuta awa wa kujitolea yaani ua wanajiona asee, utaisi tumeenda kula kwao.

yaani ua haziivi ata kidogo
 
Wameshasema kabisa kwa intake ya kujitolea na wale waliopo kambini sasa kuna mijitu mingine ilienda sijui mwezi mmoja na nusu sijui miezi mitatu nayo inataka kwenda sasa nasemaje nyie nendeni tu
Service Man mzima Unajaa Nyembe kama kurutu anavotukana akiwa kajifunika blanketi eti kisa umeskia kuna Ma-service wepesi waliopga kozi mda mfupi ambao unaona wamewavuna kwa ufupi wa kozi yao, lakini mwisho wa siku cheo ni komoja "Service Man" na watavamia BOGI basi roho yako ilivo mbaya inakuuma mno kwa kuwa hautakuwa wew na wenzako wa kujitolea pekeenu. Na bado utajaa Nyembe sana lakini lazima Kenge na Mamba watakutana siku hiyo.

Habari ndio Hiyo.
 
Kipindi wana rudishwa home mlikuwa mnawacheka eti walienda jkt kupoteza muda leo wameitwa kwenye usaili udenda umeanza kuwatoka. Na bado majeshi mengine yanakuja kama magereza, polisi, zimamoto na JWTZ sifa uwe jkt kujitolea.
Labda saili ziwe zinafanyika kimya kimya huko huko kwenye kambi za malezi kama ilivokuwa hapo awali. Lakini kama ni hapo Mgulani basi hata Makamanda wenyewe wanajua jeshini hakuna formula kwaiyo Kenge lazima atoke Damu ndipo aamini kuwa huo ni msafara wa Mamba, na sio msafara wa Kenge.
 
Service Man mzima Unajaa Nyembe kama kurutu anavotukana akiwa kajifunika blanketi eti kisa umeskia kuna Ma-service wepesi waliopga kozi mda mfupi ambao unaona wamewavuna kwa ufupi wa kozi yao, lakini mwisho wa siku cheo ni komoja "Service Man" na watavamia BOGI basi roho yako ilivo mbaya inakuuma mno kwa kuwa hautakuwa wew na wenzako wa kujitolea pekeenu. Na bado utajaa Nyembe sana lakini lazima Kenge na Mamba watakutana siku hiyo.

Habari ndio Hiyo.
Kwanza umeona wanataka degree na diploma tu,,, sasa huyu form four failure nafasi hata kua nae.. Pia uamiaji ndo wako kitengoni pale
 
imeisha hamna atakaeenda, naona ajira zmekua mgumu mnataka kututoa pua,

yaani nyie wa kujitolea ata makambini ua hamtupendi kabisa afadhali ya maafande,

basi mimi binafsi msjije kunitoa, uvungu

umenifanya nmecheka sana mkuu maana ulivyokuw mpole ghafla
 
Kwa Tangazo wanataka Degree tu au Advance Diploma yaani hata watu wa Diploma ya kawaida hawaruhusiwi.
Kwanza umeona wanataka degree na diploma tu,,, sasa huyu form four failure nafasi hata kua nae.. Pia uamiaji ndo wako kitengoni pale
 
Kwenye huo msafara wa Mamba Kenge hatuwezi kukosa, Sifa kuwa mwepes sasa kama wewe ulijitolea alafu unajikuta mzito utakaa kando tu habari ndio hiyo.

Uzuri ni kwamba wewe Service Man ambaye mimi wa mujibu nilikutangulia kuanza kozi japo ni ya miezi3 hakuna utakacho nifanya, maafisa wakichachamaa kikubwa ntapigishwa doso ambalo kimsingi ni la kawaida na ukweli ni kwamba kufa sitokufa.

Tunawajua vizuri baadhi yenu nyinyi wa kujitolea huwa mna wivu na roho mbaya mno tena sana kwa kuwa vijana wengi wa mujibu walio bahatika kuingia kwenye majeshi, waliingia kwa uhitaji maalum na ndio hao baadhi ni viongozi wenu tayari mnawaita "Afande kila siku" na bado wengine wapo kwenye kozi maalum wanakuja kuwa viongozi wenu kwaiyo mtaendelea kuwaita "Afande" mpaka mwisho wa utumishi wenu.

Shame on You usipende kudharau kozi ambazo Serikali imeweka tena kwa mujibu wa sheria. Inamaana walio tunga hizo sheria walikuwa hawana akili?? Na je, hayo majeshi yanayo chukua vijana wa mujibu na kuwapeleka depo kwaajili ya kozi maalum wao ni vilaza?? Kwanin wasiwachukue nyie kama kozi ya mujibu wa sheria haina maana kwao??

Mnapenda kujikuta maafande tayari wakati kimsingi nyinyi bado ni raia tu mlikuwa mnalima mashamba tu na kulisaidia taifa katika shughuli za uzalishaji Mali.
Habari ndio hiyo.
Pole sana Kijana mm hizo nafasi hazinihusu Mana sipo huko unapofikilia nnachoshangaa n jinsi gan vijana ambao kimisingi mmejifunza uzalendo na kufata taratibu lakin mmekua tofauti na ile dhima na maono ya jkt inavyosema ,sipingi Ww kwenda lakn njia za kijinadi hadharan sio nzuri hujui n watu wa aina ipi wanasoma huu Uzi .
 
Yani vijana mnaonesha ni jinsi gani mnakosa ufahamu mujibu wa sheria ni kozi Kama kozi zingine lakini usiwe mropokaji bado hujakomaa kiakili na jeshi haulifaham hata hujawahi kufanya usahili wowote wa ajira hujui na comment zenu zinaakisi kiwango Cha ufahamu wenu juu ya vyombo vya ulinzi.

Sifa za kijeshi ni tofauti na sifa za tpa,tra,dawasa sijui huku Kuna Mambo mengi wanaangalia kuanzia elimu wamesema wenye degree na advance diploma kwa taaluma walizoorodhesha watapewa vipaumbele
Wadogo zangu bogi la kozi za kijeshi sio za kuapply mtandaoni ni kwenda sehemu husika wingi wenu ndio vikwazo vitaongezeka ili mpunguzwe

Sifa nyingne uweteyari kuhudhuria na kuhitimu mafunzo kwa miezi 9 maana yake vijana wanaohitajika watakuwa wengi nendeni mkajaribu bahati yenu
Wakujitolea waacheni Kama hujui walisota vipi Bora unyamaze tuu wewe mujibu wa sheria ambaye umezaliwa miaka ya 2002 kwenda juu kuwa msikilizaji Sana na sio muongeaji
 
Barikiwa mkuu
 
Back
Top Bottom