Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 687
Mzigo ulikuwa hivi nimetoa kwa fulani.Ndugu zang kwenye dondoo nilizotoa kuhusu security hamjakuta au kufananisha hata moja
Ndugu yangu shinyanga town nikushukuru kwa hints zako bwana mdogo amefanikiwa kupita katika mchujo na anasubiri Oral siku ya ijumaaNdugu zang kwenye dondoo nilizotoa kuhusu security hamjakuta au kufananisha hata moja
Ndugu yangu mdogo wetu amefanikiwa kuvuka mtihani wa mchujo sasa ni wakati wako wa kushusha nondo kwa ajili ya hiyo Oral.Akivuka kwenye mchujo ndipo uje tukupe ujanja. Kwasasa hapo alale tu asubiri bahati.
Maana mchujo ni wakufa mbwa kama si mtu
Nashukuru sanaPoa. Nitampa nondo, ategemee kushinda 95%
Poa. Nitampa nondo, ategemee kushinda 95%
Asante kwa mrejesho.Kaka naomba nikupe mrejesho.
Matokeo yametoka usiku huu na kijana amefanikiwa kupata hiyo ajira.
Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Jiandae zawadi ya korosho kwa kuanzia.
Dah! Ndugu yangu na mimi nikiitwa kwenye usail wowote ntakutafuta unipe nondoPoa. Nitampa nondo, ategemee kushinda 95%
, naona nondo zako zina upako, safi sana na Mungu akibarikiYaani wewe umefanya oral juzi umeanza kuulizia sasahivi!!Habari wapendwa, nilifanya Oral interview ya Airport Security Officer II Utumishi mwaka huu 2022 mwezi wa tisa tarh 17, ila mpaka sasa hawajatoa placement, naomba kujua kwa mtu mwenye uzoefu, huwa inachukua muda gani placement kufanyika kwa sasa?
😂😂😂😂Umeamua kumuua kabisa hahhhYaani wewe umefanya oral juzi umeanza kuulizia sasahivi!!
Wapo waliofanya oral mwezi wa sita huko na bado placements hazijatoka.
Endelea kusubiri zinaweza kutoka mwakani
Hahahahaaa, hata nyuzi zetu humu za hadi mageto ya bei chee hazioni.Umeamua kumuua kabisa hahhh
😂😂😂😂HahhhhhHahahahaaa, hata nyuzi zetu humu za hadi mageto ya bei chee hazioni.
😂😂😂😂hamna kawaida tu mzeehumu JF siyo kwa kuomba ushauri kwa haya majibu
Yaani wewe umefanya oral juzi umeanza kuulizia sasahivi!!
Wapo waliofanya oral mwezi wa sita huko na bado placements hazijatoka.
Endelea kusubiri zinaweza kutoka mwa😂😂😂😂😂😂