Habari wanajamii wenzangu,Mimi nimemaliza chuo mwaka 2022 kozi ya MIPANGO na MAENDELEO ya JAMII ,naombeni kwa mtu yeyote mwenye kusaidia kupata nafasi ya Kazi kwenye kampuni au taasisi yeyote ,
nitashukuru sana.
Mimi nilikuwa natafuta gari ya mkononi Kuna mtu akaja inbox na picha za gari,nikamwambia njoo nayo dar ili tuingalie then tufanye MALIPO ,baadaye akasema gari Haina mafuta ya kutosha kwahyo nitume ela ya mafuta ili aanze safari usiku , tokea nitume Ile ela sijaona gari Wala simu kupatikana Mpka...
Kwanza naomba nitoe pole kwa familia ya mtoa mada kwa haya mazito yaliyoikumba familia kwakweli watu wema wamekuwa wakiangamia sana kwa kutokujua nn wanalolifanya na hii imesababushwa na wengi wetu kukosa subira ,maono na kushindwa kuomba ushauri kwa ndugu,marafiki au majirani ili kupata msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.