Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,408
- 58,915
Utaandikaje hivi dume zima ? Au una dada yako ? 🤣🤣🤣Kwanini walevi na wanaume walio changanyikiwa wengi hutumia kiingereza, kujieleza?
Badala ya kumtakia heri mleta ombi na wewe unaanza kuleta shombo za kike.