Recent content by hazard17

  1. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Naombeni jibu juu ya utata huu

    Nimekukubali
  2. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta company tu

    We mkali me pia natumia mbege
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme wa masaa 24 waja

    Utajuaje kama wako kazini lazima wakate
  4. H

    JamiiForums Tanzania Utoto raha sana

    Baba hajambi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tango transport

    Inamaana wahindi hawakwepi kodi mbona wanapiga hatua sana kwani kipindi kile jamaa alikua vizuri sana
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tango transport

    Ndugu wanajamvi naombwa kujuzwa kuhusu hii kampuni ya tango transport. Miaka ile ya tisini ilikua ni kampuni kubwa sana ya usafirishaji pale Arusha, ila sasa sijui ni nini kimeikumba kampuni hii. Tafadhali mlioko arusha mtujuze kwani magari yanaozea pale viwanja vya nmc. Nawasilisha
  7. H

    JamiiForums Tanzania MH,MUHONGO: Kilimo,Uvuvi,Ufugaji na biashara haviwezi kuleta maendeleo Tanzania

    Huyu jamaa ni mtanganyika kweli
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nitarudi tena Marangu

    Karibu tena om ukija tena fika hadi rombo mkuu
  9. H

    JamiiForums Tanzania nahitaji mguu wa kuku

    Mwanangu ukipata mwenye miguu miwili nistue hata mm nahitaji. Naumiaga sana nikinyanyaswa
  10. H

    JamiiForums Tanzania R.I.P Ariel Sharon ( shujaa aliyempendeza mungu kwa kulinda taifa lake)

    Tanzania tunahitaji kiongozi kama Sharon ili aweze kulinda tembo wetu pamoja na rasilimali zingine.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar muungano tutaununua...

    Mbona comoro si kama hiyo sungapore unayosema mzee
  12. H

    JamiiForums Tanzania USAFIRI NI BASIC NEED! SIO ANASA, yajue magari ya Kijapan yanayotoka UK na kuuzwa kwa bei nafuu sana

    Hiyo ya paund 300 hadi naliweka mkononi inaweza gharimu kias gan ya fedha ya kitanzania
  13. H

    JamiiForums Tanzania Zuku wanazingua

    Samahani nimejivhanganya ni kwamba muda wangu wa matumizi uliisha
  14. H

    JamiiForums Tanzania Zuku wanazingua

    Wadau juzi king'amuzi changu cha zuku kilikata network. Jana nikanunua kifurushi cha zuku poa 16000. Chaajabu zile channel walizooredhesha kwenye manu yao hazipatikani hata tbc1 hakuna. Ni za kichina na baadhi za kiarabu. Najaribu kupiga namba zao za huduma hazipokelewi toka jana. Nahisi kama...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Chadema Namanga Dar es salaam

    Kwa hiyo lema kusema asilimia kubwa ya wakazi wa dar wanakula miguu ya kuku na vichwa ni matusi. Kweli professa hujui maisha halisi ya wakazi wa dar
Back
Top Bottom