na mimi nazungumzia umeme huo huo wa nishati,kwangu upo kila siku
Kuna kila dalili kwamba kuna mgao mkali sana unakuja kwani dalili hizi zipo wazi kutokana na halia halisi ya kinachotokea sasa.Kila siku sasa kwa takribani mwezi umeme unakatika hovyo si mchana si usiku,kuna nini TANESCO?