kamuakotekote
Senior Member
- Feb 12, 2014
- 163
- 17
"Hakuna mkate mgumu mbele ya chai...."
Yayayayaya na wewe umekua siku hizi.
"Hakuna mkate mgumu mbele ya chai...."
Wengine michosho tu , japo kunawengine unawakunja mpaka mkunjaji unaweza kuwaonea huruma lakini wao walaaaa,,,,,,,,,,
hebu waje watupe majibu hapa............
huwezi kunyimwa vyote mazoezi ya uwanjani na ya kitandani.
utakuja tenguka shauri yako,,,,,,,,,,
Yayayayaya na wewe umekua siku hizi.
Ndio kaka....
Kama kuna aliewahi kuteguka basi atoe ushaihidi. Tumeumbwa kukunjwa ndo raha ya uanamke ana hukunji vizuri utakuja kunjiwa ebo.
Mkuu sasa kama hajasema anaumia wewe unamhurumia wa nini.
"Hakuna mkate mgumu mbele ya chai...."
"Hakuna mkate mgumu mbele ya chai...."
Anataka ujibu wewe maana amejichanganya
Mjibu tu.
mpaka sasa atakua kashapata jibu