miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
yeleuwiii hivi ni nini nimesoma roho ya mauti toka ushindwe na ulegee
waheshimiwa nisaidieni jamani nahitaji nami nimiliki mguu wa kuku (bunduki), nimebahatika kukopa ka-starlet sijajua kuendesha vizuri sasa watu waki ni over take huwa naumia sana,mfano juzi daladala ilini over take halafu konda kaniambia tulia wewe, basi nika funga brake za ghafla kisha nikakasirika nilishuka bahati mbaya sina nguvu, kweli nikatamani na miimi ningekuwa na mguu wa kuku yaani hawa maboda boda wanavyoyaendesha kwa fujo ningewamaliza wotee manake huku barabarani kuna watu wanatia kweli hasira, halafu pia kwenye ma bar watu wakijua una mguu wa kuku wanakupa heshima mno una uwezo wa kumchukua mrembo yoyote maadam tu uwe umeiweka sehemu ambayo kila mtu ana uwezo wa kuiona, kingine ni kwamba wapenzi siku hizi wamekuwa siyo waaminifu hivyo nikiwa na mguu wa kuku nakuwa na uwezo wa kumtuliza mwizi wangu wote pamoja na huyo mpenzi kama matukio mengi tunayoyasikia kwa sasa ....kwa sababu tajwa hapo juu nilikuwa naomba ndugu wasomaji mnishauri utaratibu wa kumiliki hii kitu au hata kama kuna mtumishi yoyote asiye mwaminifu aliyepewa dhamana ya hii kitu aweze kuniuzia ya kwake kwani kale kautaratibu ka serikali ni karefu mnoo
asanteni kwa kunielewa
Aisee we jamaa umenifurahisha sana!!!!! Kwi kwi kwii kwiiiiiiii....eti Tulia weweee....