Recent content by Hayandiomaisha

  1. Hayandiomaisha

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya Serikali vipi jamani?

    Ndio Kind of
  2. Hayandiomaisha

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya Serikali vipi jamani?

    Nimeomba bar code ya isbn kwa ajili ya kitabu lakini wiki mbili sasa wanasema system inasumbua. Imagine kamfumo hako kadogo tu kanasumbua. Kitu ambacho wenzetu wanafanya online dk mbili? Tutoke huko kwenye mambo ya kizamani dunia inakwenda kasi sana tukimbie nayo plz
  3. Hayandiomaisha

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ninakupenda ndio maana nakuchukia

    "Unajua ni hatari sana sisi kuwa wakweli?" "Kwa kazi zetu hizi lazima tuwe waongo waongo ndio tueleweke unajua..." "Lakini mbona wa kule magharibi sio waongo waongo? na mbona wakiahidi wanatimiza?" "Wee wale wananchi wa kule hawaelewi ahadi za uongo" "Ahaa kwa hiyo tatizo ni wananchi ee."...
  4. Hayandiomaisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

    Hahahh
  5. Hayandiomaisha

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    izo zilizopita zote zilikua na utaratibu na mpangilio haya where r we now achen kuponda ilimradi
  6. Hayandiomaisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifata ushauri wa humu unaweza usioe

    Aya......
  7. Hayandiomaisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifata ushauri wa humu unaweza usioe

    Hahaha..kweliii
  8. Hayandiomaisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifata ushauri wa humu unaweza usioe

    Ata siez panik....we ndo unakurupuka kusoma
  9. Hayandiomaisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifata ushauri wa humu unaweza usioe

    We nawe unakurupuka...ujaona nmesema KUNA PPLE....
  10. Hayandiomaisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifata ushauri wa humu unaweza usioe

    Kabisa mkuu...tena za giza nene nahisi kuna mapepo humu
  11. Hayandiomaisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifata ushauri wa humu unaweza usioe

    Conclude ww
  12. Hayandiomaisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifata ushauri wa humu unaweza usioe

    Kuna people kazi yao kuponda kuwa kinyume na ukweli utasikia wanawake wa kuoa ni darasa la saba au form four eti wenye degree hawana unyenyekevu. Watu wanaisupport tu. Utasikia wanawake wanene hawajui kukataa wanaume, mara wembamba ni michepuko, kuna vitu vingine ni ushamba eti kabila fulani...
  13. Hayandiomaisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye thamani

    Sio kweliiii ingawa kuna madada wasiojitambua
  14. Hayandiomaisha

    JamiiForums Tanzania Posti kidato cha nne

    :majani7::majani7::majani7::majani7:
  15. Hayandiomaisha

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday nameless girl

    Jaman naomba kirefu cha dp...naambiwa tu ur dp unependeza kwa watsap but sjui kirefu chake
Back
Top Bottom