Hayandiomaisha
Member
- Oct 1, 2013
- 30
- 10
- Thread starter
- #61
Kuna jamaa yangu alikuwa kila akipata demu anatuuliza, ivi munamwonaje, mzuri eee! Watu tunaitikia ndiyo, anafaa kuoa eeh, watu tunasema ndiyo. Wakiachana anatulaumu sisi.
Siku moja nimeshamchoka akaja na hizo hizo za kutuuliza, ikabidi nimwuulize "vipi ni mtamu? Kama vipi mlete tuonje ili tutoe majibu yakinifu." Jamaa alimind ila hakutuletea tena hizo habari.
Watu wanakuacha tu uingie chaka mwenyewe.
Hahaha..kweliii