Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
mtu mke kakutana nae facebook, wakajuana zaidi tweeter, wakachat chat kwa bbm na kutumiana picha kwa skype et ushauri aje jf ha ha ha si bora akagoogle amalize kabisa
hapa story tu ushauri angazaaa
Kuna jamaa yangu alikuwa kila akipata demu anatuuliza, ivi munamwonaje, mzuri eee! Watu tunaitikia ndiyo, anafaa kuoa eeh, watu tunasema ndiyo. Wakiachana anatulaumu sisi.
Siku moja nimeshamchoka akaja na hizo hizo za kutuuliza, ikabidi nimwuulize "vipi ni mtamu? Kama vipi mlete tuonje ili tutoe majibu yakinifu." Jamaa alimind ila hakutuletea tena hizo habari.
Watu wanakuacha tu uingie chaka mwenyewe.