Recent content by hayaka

  1. H

    WhatsApp status na maana zake

    ha ha ha! umenichekesha kweli!
  2. H

    Kilimanjaro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    niko longuo A, vijana wamejitokeza kwa wingi sana hata wale wanywa viroba leo wanakunywa maji wako kwa foleni ya kupiga mpaka kieleweke.
  3. H

    Upumbavu uliopitiliza

    huo sio mshikaki tena ni mtura. watu wanakiita kifo!
  4. H

    Perfume yenye harufu kama ya mkojo

    we hujaipenda lakini mpenzi wake anaipenda.
  5. H

    Haa Haa Nani Mjanja

    Lugha gongana
  6. H

    Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

    Hawaniwezi! Si rahisi kama unavyofikiria!
  7. H

    Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

    Nashangaa kwakuwa nimekuwa nikitwa mchawi na ili hali hakuna hata aliyejikwaa kwa ajili yangu. Natamani ningepata hizo nguvu za kulaza watu nje.
  8. H

    Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

    Kama wanasali kwanini walazwe nje na wachawi?
  9. H

    Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

    kumbe tanzania kuna uchawi? Me hata siamini! Yaelekea hao walimu hawamjui mungu.
  10. H

    Act like a lady think Like a man

    me naamini kuwa wadada wanatakiwa kufanya kila kitu ilimradi wawaheshimu waume zao.
  11. H

    Tar 02 Nov ni mahafali ya 5 Mwenge,wadau karibuni mtuunge mkono

    asante mkuu. Nitakuja kukuvalisha taji. Me naishi hapa mwenge, napakana na kwa mapadri wazee na kanisa la mwenge.
  12. H

    TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    hilo la kusema wafupi ni malaya nalipinga. Japo kweli watu wafupi hawajiamini. Mara nyingi wanadhani wanazarauliwa.
Back
Top Bottom