Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

MOORIINGEE

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
381
Reaction score
190
Walimu wa shule ya msingi Shigala wilaya ya Busega mkoani Simiyu wamejikuta wamelala nje wa nyumba zao kutokana na vitendo vya kishirikina!

Walimu hao wameeleza kuwa mara kadhaa wamekuwa wakikutwa na vituko kadhaa! '' unaweza ukala ugali na maharage au mrenda lkn tukiamka asbh tunakuta mifupa ya nyama mezani'''

Mara kadhaa unaweza kuwa unapika maharage na upo hapo hapo jikoni wakati umefunikia na yanachemka ukifunua baada ya muda furani uangalie kama yameiva unakuta yamegeuka kuwa nyama!

Kama hiyo haitoshi mwalimu analala peke yake usiku lkn akiamka anajikuta ameingiliwa kimwili (anajikuta alikuwa kwenye ngono usiku).

Walimu wamegoma kufundisha wanasubir hatima yao.

Wadau kama ni wewe ndo yanakukuta ungefanyaje?
 
kumbe tanzania kuna uchawi? Me hata siamini! Yaelekea hao walimu hawamjui mungu.
 
noma sana,wachawi watu wa hovyo sana,ila kwenye hii ya maharage kuwa nyama sielewi kama wanawaonea huruma walimu wetu wanaohangaika huko wanaamua kuwasaidia au ni vp,labda kwa hili wanalengo zuri inabidi kufanya utafiti tume iundwe
 
kumbe tanzania kuna uchawi? Me hata siamini! Yaelekea hao walimu hawamjui mungu.

kilaza wewe ucgawi upo, hata simon petro alikuwa mchawi kabla hajawa mtume, mbulula wewe, qe muumin wa rwakatare wewe
 
kilaza wewe ucgawi upo, hata simon petro alikuwa mchawi kabla hajawa mtume, mbulula wewe, qe muumin wa rwakatare wewe
Nashangaa kwakuwa nimekuwa nikitwa mchawi na ili hali hakuna hata aliyejikwaa kwa ajili yangu. Natamani ningepata hizo nguvu za kulaza watu nje.
 
hii sayansi ya Afrika iko juu....
 
da hapo mchawi kachemka

angeendelea na staili ya maharage kuwa nyama

au walale nyumba ya nyasi waamkie nyumba ya vioo.

hata wasingisema lolz,,
ni kula bata kwa kwenda mbele
 
Mtu anaamua kukuletea nyama basi anakupenda sana lakini hili la kuingiliwa na kulala nje hapo sjui labuda Simiyu yetu atusaidie!!
 
Back
Top Bottom