SAWA AMEKAMATWA, JE KOSA LAKE NI NINI?. AMEIBA HIZO DHAHABU AU NI MALI YAKE?. AMEKUTWA NA PESA ZA MATAIFA MBALIMBALI JE KAIBA AU NI ZAKE?. KWANI KUWA NA PESA TANZANIA NI KOSA? AU KUWA NA DHAHABU NI KOSA PIA!!!!????. MLETA TAARIFA TOA MAELEZO YA KUTOSHA.
Ningefurahi sana kama ungemkosoa kwa kukosea kiswahili. lakini kwa lugha ambayo kafundishwa darasani sidhani kama ni sawa. japo hata hicho kiswahili si wote wanakifahamu vizuri.
SIKU NYINGINE JARIBU KUTUMIA MANENO MAZURI KATIKA UANDISHI WAKO, WACHANGIAJI WAZURI WAPO ILA LUGHA ULIYOTUMIA NI YAKIHUNI. NB- KUTOKANA NA USHAURI ULIOTOLEWA NA BAADHI YA WANA JF (SUBARU forester imepita) haya nenda kanunue.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.