mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,104
- 1,471
Mkuu Sti ina shida gani?
Haina shida, engine ila ni ghali kidogo kuimantain kuliko isiyo na turbo kwa maana ya mafuta na service
Mkuu Sti ina shida gani?
=====Kwanza siamini hiyo consumption rate yako, pili sijasema atumie ist wala gari yoyote ya cc chini ya 1500. Kama unaelewa ni kuwa nafananisha na gari ya cc 2000 hapa
Yes. Hata kama umetoka safari ndefu, ukiacha iendelee kupumua, baada ya kupumua huwezi kusikia kama inaunguruma, mpaka raha. Kuna jamaa aliwahi kuingia kwenye gari, akadhani imezimwa, alikuwa anawasha.Hapana mkuu, ile loudspeaker unafunga mwenyewe, inaitwa muffler kwa lugha nyepesi..... Subaru huwa hazina sauti kabisa, na inaweza washwa mbele yako hata usisikie kama imewashwa.....ndo maana nazipenda sana hizi gari maana zinakubali hali yoyote uliyonayo, kama unapenda ile sauti unafunga na inaitika kama hupendi unatoa na inakuwa silent balaa mno labda pale inapowasha radiator fan kupooza engine ndo utasikia inatoa sauti.....
Ila ukifunga muffler mkuu, ukiwasha tu linaweka heshima mkuu....pia ufunge na breather kwa ajili ya chafya na transmission performance
=====
kuamini ni hiari mimi natumia huo usafiri. Nikijaza full tank Dar nadrive hadi mtwara bila kuongeza . full tank ni 70L. Mtwara from Dar ni kama 670. But hapo naongelea kujaza ubungo napambana na foleni mpaka mbagala. CC1500 ni gari ya chini sana ....unajua ukitumia kitu ghali kinakusaidia ubongo kutafuta pesa...
Msipende kuogopa mafuta.
Point of correction.=====
kuamini ni hiari mimi natumia huo usafiri. Nikijaza full tank Dar nadrive hadi mtwara bila kuongeza . full tank ni 70L. Mtwara from Dar ni kama 670. But hapo naongelea kujaza ubungo napambana na foleni mpaka mbagala. CC1500 ni gari ya chini sana ....unajua ukitumia kitu ghali kinakusaidia ubongo kutafuta pesa...
Msipende kuogopa mafuta.
Point of correction.
Dar to Mtwara 562km(soma 565km)
Na Mtwara to Masasi ni km610
Mtwara to Masasi hazijafika km 610. Nadhani ni Km 210. Labda ulimaanisha Dar Masasi.Point of correction.
Dar to Mtwara 562km(soma 565km)
Na Mtwara to Masasi ni km610
Ukikanyaga mpaka chini engine inalipuka kama kwa sautHapana mkuu, ile loudspeaker unafunga mwenyewe, inaitwa muffler kwa lugha nyepesi..... Subaru huwa hazina sauti kabisa, na inaweza washwa mbele yako hata usisikie kama imewashwa.....ndo maana nazipenda sana hizi gari maana zinakubali hali yoyote uliyonayo, kama unapenda ile sauti unafunga na inaitika kama hupendi unatoa na inakuwa silent balaa mno labda pale inapowasha radiator fan kupooza engine ndo utasikia inatoa sauti.....
Ila ukifunga muffler mkuu, ukiwasha tu linaweka heshima mkuu....pia ufunge na breather kwa ajili ya chafya na transmission performance
Hapo kama bado unapenda ujana na unataka gari la kudumu na la familia pia basi nakushauri chukua Subaru Forester XTi(sio STi) hii ni full SUV na ina size kubwa mfano wa Rav4 hivi, hizi gari zinaaminika zaidi kwa performance, usalama kwenye ajali, size kubwa na pia utulivu barabarani.....pia zina ulaji wa kawaida wa mafuta hasa hasa 2.0 petrol na pia haziharibiki kirahisi....asikudanganye mtu kuwa Subaru zinakula sana mafuta ni wewe tu na utayochukua kama 2.0 au 2.5...mm nna subaru Forester sti mwaka wa 5 huu na nimebadilisha taa na matairi tu tena kwa kuigonga vingine vyote viko sawa
Sorry,Dar to Masasi.Hii ni kweli?
SIKU NYINGINE JARIBU KUTUMIA MANENO MAZURI KATIKA UANDISHI WAKO, WACHANGIAJI WAZURI WAPO ILA LUGHA ULIYOTUMIA NI YAKIHUNI. NB- KUTOKANA NA USHAURI ULIOTOLEWA NA BAADHI YA WANA JF (SUBARU forester imepita) haya nenda kanunue.niajee mazee gari gan hapaa naweza kununua hizo ni choice zangu nilishawahi ku drive forester mwaza la msela bonge la chuma xoo talanta niweke wap mafuta na capability n muhim kwa watalam uwanjaa huu hapa jitupeni
Ndugu Harrier new model unayozungumzia ni ipi? Maana nayoijua mie sio chini ya Milioni 95, Huyu mtu anataka subaru au harrier lakini kumshauri anunue harrier new model ni kumtukana, huwezi ilinhanisha na subaru forester.Mimi pia nimeendesha Harrier ya 2006 cc 2490. Kuhusu mafuta inakunywa na kuhusu comforability inategemea upo kwenye mwendo gani. Ikiwa unaendesha speed za 100km/h + utaanza kuona kama inaelea hivi barabarani na inakuwa laini hali ambayo inakupa hamasa ya kukanyaga mafuta tu. Yani inakuwa kama ndege ya ardhini.
Ingawa niliuza Harrier yangu na sasa napush Rav4 ya 2008. Hata hivyo ninapendekeza mtu kama ana uwezo nalo Harrier new model ni gari zuri sana.
Mkuu naomba namba ya huyo fundi wa Subaru tafadhaliHapo umeongea kweli ndugu yangu, mimi nawajua mafundi wachache sana wa Subaru hapa dar, na huwa wanajua kutambua ugonjwa wa gari hata kabla haijaanza kukupa wenye, akisema upeleke gereji usibishe