Recent content by Hater

  1. H

    Kuna mtaalam au mganga yeyote anayeweza kusaidia kupatikana kwa kitu kilichopotea?

    Nimeanzisha kampuni ya Lost and Found. ANGALIZO: HAIJASALIWA
  2. H

    Makinikia ya madini yafukua makaburi Rasimi

    Makaburi mengine ni muhimu kuyafukua mkuu
  3. H

    Msimsumbue Makonda kuhusu vyeti au tuhuma zozote, mwenye mashaka atoe vithibitisho

    Vyovyote vile ila Makonda kawanyoosha hapo mjini . Big up kwake kwa uthubutu!!
  4. H

    Muhtahsari wa mabadiliko ya Katiba ya CCM ya mwaka 2017

    Mbona hii ya CCM kubadili katiba imewauma sana wapinzani ? Kama vp wachukueni nyie!!
  5. H

    Style ya uongozi wa Magufuli imeshusha morali ya watumishi wa umma

    Nimeikopi nakupaste hii sehemu fulani hivi: NENO: NIDHAMU YA WOGA AU WOGA WA KINIDHAMU? Na. M. M. Mimi Mwanakijiji Hakuna kitu kama "nidhamu ya woga" kazini. Kinachoitwa "nidhamu ya woga" ni dalili ya watu wazembe, wasio na weledi, na ambao hawana ufanisi kazini isipokuwa hadi wasimamiwe...
  6. H

    Style ya uongozi wa Magufuli imeshusha morali ya watumishi wa umma

    Dah ! Post yenye hekima kuliko zote
  7. H

    Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    HTT (Helios Towers Tanzania) ni sehemu ya kampuni iitwayo Helio Towers Africa. Hawa jamaa wapo Ghana, DRC na South Africa. Makao makuu ya Helios yapo U.K
  8. H

    Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    Kweli minara yote ya Voda wameuzia kampuni ya Helios ambapo kampuni zingine za simu zinaweza ku-rent
  9. H

    Viva viettel (halotel)

    Mwanza tupo Isamilo area near Mwanza City Council
  10. H

    Viva viettel (halotel)

    Wako poa sa HV nasikia wanajihita halotel
  11. H

    GE2015 Humphrey Polepole: CCM ilifanya maamuzi ya kiume, Majizi na hasa kubwa lao yakakatwa...

    Yule mwenyekiti wao alisema hawakutaka kumchagua mtu ambaye watakuwa na kazi ya ziada kumtetea na kujitetea wao. Sasa hawa jamaa wengine wakachukua yale yaliyoitwa mafisadi na sasa wamebaki na kazi ya kuwatetea kuwa wale sio mafisadi ila ni mfumo ! Kibao kimegeuka siku hizi siwasikii kabisa...
  12. H

    Miss Tanzania na maswali ya papo kwa papo

    mashindano yenyewe yamebakia jina tu ambalo nalo linaenda kaburini!! sasa hakuna haja ya kuweka warembo kambini, siku ya tukio wanaita mnawapa gari basi...... nadhani itasaidia kupunguza gharama za kutengeneza vituko!
Back
Top Bottom