Kuna mtaalam au mganga yeyote anayeweza kusaidia kupatikana kwa kitu kilichopotea?

We jamaa sali rozali kwa imani utakiona, au vingnevyo tafuta mwenyewe. Waganga wezi
Wakat nikiwa mdogo nilitumia sana njia hii na vitu nilikua navipata kirahisi. Hata kama nilikua nna shida ya hela nilikua nasali rosali kupata hela.Siku moja nilipoteza viatu tulipokua tumevua viatu na kuweka kama magoli ya uwanja. Mama alikasirika sana akaninunulia viatu vya matairi ya gari makatambuga ambapo kipindi hicho vilikua vinadharaulika sana. Usiku wa siku hiyo nilisali rozali na kesho yake nikiwa naenda shule niliokota tsh 5000 nikaenda kununua viatu.

Nilipofika darasa la saba nikaanza kuwajua wasichana afu nikawa nnaposali kuna kitu ndani yangu kinaniambia napoteza muda kusali, siwez kufanikiwa kwa kusali tokea hapo uwezo huo wa kuomba na kupata kama nilivyoomba ukaishia hapo
 
duuuhh pole asehh..tubu dhambi halafu acha dhambi ndo urudi kwenye rozali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom