Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

Kuna haja ya kuanzisha numeracy test kwa kila mtu anayejiunga na JF na kwa waandishi wa habari.

Kichwa cha habari akiendani na habari yenyewe. Kichwa cha bahari kinasema Milioni 200 na habari yenyewe ni bilioni 200!
 
Hizo genereta zao tu ni hela ndefu. Mnara ni gharama.
 
Hiyo figure ni ndogo kwa mnara. Huo ni lazima mnara wa 35m sana sana mpaka 50m tena ni wa coverage tu.

Sitashangaa ukiwa ni wa UCAF tena.

TZS 200mil sio nyingi kwa mnara. I know coz I build them.

Kama zile nguzo mpya za Grid ya taifa za umeme kwa kuanzia tu mifuko isiyopungua 300 inazamishwa chini na hadi nguzo inasimama gharama yake haipungui Million 180 je ukiringanisha huo mnara wa Vodacom wenye kuwekewa vifaa mbali mbali ambavyo hata wewe gharama zake hauzijui je ni halali kwa wewe kushangaa hiyo million 220? tatizo umejikita kwenye mawazo ya kimasikini masikini ndio maana unaona hiki ni kitu cha ajabu.

Mkandarasi tu analipwa over 100 million, mnara prke yake ni over 100 million hadi ifike hapa tz na kulipiwa kodi. Kuna kila dalili gharama inayotumika ni zaidi ya 200million maana bado kuna generator ambalo si chini ya million 30 na power back up ambayo ni zaidi ya 15 million.

Hakuna kilichiobwa hapo ndugu!
Ni bilioni 200.
 
Uchaguzi huu umemkamua lowasa kwa hiyo anatafuta kila namna kufidia hilo gape ,baada ya kugundua kwenye account salio lime yumba

ha ha ha ha....iiii nitaifanyia kazi hii! Wakati Magufuli anashughulikia hiyo dola bilioni moja ilikopelekwa na Vodacom, ngoja namie niangalie kama kuna uhusiano hapo na huyu jamaa yetu wa mabadiliko yaliyobuma.
 
Hujui Voda wamepitisha fibre optic cable nchi nzima ndani ya mwaka ihali mamlaka za maji zimeshindwa kuweka vibomba vya plastuc kwa miaka hamsini?

Hebu thibitisha beyond reasonable doubt huu ni mradi wa Vodacom na si mradi wa Bandwidth & Cloud Services Group. Weka maelezo hapa tuone...
 
Hujuwi gharama. za kujenga mnara we.tuulize watu tulioko field

UMEPOTOSHWA WEWE: HUYO JAMAA YAKO Chinga boy
KAWEKA KICHWA SICHO [h=2]Re: Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?. Gharama inayodaiwa ni Billioni 220. Tizama kichwa cha mwanzo ndo utaelewa[/h]
 
Mtoa Mada nadhani hawa wamesaidia kukupa jibu;
Mulindi,Yodoki II,J33,Gulf Streamer.

Yodoki II;
Kuna outsourcing ilifanyika ya Minara kwa kampuni ya HTT(owner wa Minara ya tigo na voda kwa sasa).
Huyu bwana HTT alianza kwa style ya kununua kwanza,kisha anakungisha yaani aje ktk nyumba yako ninunue kisha nikupangishe ila yeye atahusika na usalama wa vifaa tu.
Walianza na tiGO hii case kisha wakaja vodaaa...mbeleni akaanza kujenga minara yake yeye HTT kisha kuwapangisha makampuni ya simu.
Inavyoonekana speed ya ujengani Minara hawa HTT si kubwa kulingana na mahitaji ya kampuni kusambaa ktk maeneo,kwa hiyo yapo maeneo tigo au voda atajenga mwenyewe minara kulingana na hitaji la hapo.
Ila hawa jamaa wa HTT kidogo wajanja ...at first walianza na hiyo style ya kununua tu na kumiliki kw usalama baadaye wakaomba kujipa task ya kumanage power ya site yaani wao wahusike kuprovide power on site licha ya ownership...hiyo outsoutce ikapita wale subcon wote wa power wakawa chini ya HTT kutoka makampuni ya tigo na voda....
Tender sasa ya HTT ikawa ni ownership na power supply.

Kwa gharama hizo 220 ni kidogo,ujenzi wa mnara ni shughuli pevu ndiyo maana serikali kupitia mfuko wake wa mawasiliano (UCAF) wanasaidia hili la kujenga minara na kutoa ruzuku kwa makampuni kwenda kuweka mawasiliano maeneo ya vijijini kwa kua kampuni zinakua haziko tayari kwenda kuwekeza 500mil hata ndani ya miezi sita 10ml mauzo hakuna.

Ahsanteni.
At least nimetoa mwanga fulani!

Asante ndugu mchangiaji. Naomba nitakafakari kuhusu huu mchango wako. Ni kama unajua jambo hapa, lakini ni kweli au si kweli, mtu anahitaji kujifikirisha kwanza. Hii HTT ni mali ya nani?
 
Hiyo figure ni ndogo kwa mnara. Huo ni lazima mnara wa 35m sana sana mpaka 50m tena ni wa coverage tu.

Sitashangaa ukiwa ni wa UCAF tena.

TZS 200mil sio nyingi kwa mnara. I know coz I build them.

billioni 220 ndi ndogo?. Umeitizama vizuri hiyo tarakimu lakini? kama mnara mkubwa ni 50m/- hebu gawanya 220,000,000,000 Gawanya kwa 50,000,000 unapata minara mipya mingapi! iko wapi hiyo minara mipya katika mazingira ambayo mwenye minara ni mwingine kwa maelezo ya mdau mmoja hapa.
 
Asante ndugu mchangiaji. Naomba nitakafakari kuhusu huu mchango wako. Ni kama unajua jambo hapa, lakini ni kweli au si kweli, mtu anahitaji kujifikirisha kwanza. Hii HTT ni mali ya nani?

Buluwaya,
Hawa ni wawekezaji tu ktk sekta ya Mawasiliano upande wa Miundombinu...wako Worldwide si Tanzania pekee.
Zipo kampuni nyingi tu za uwekezaji ktk Miundombinu hiyo na hizi Tender uwa za kushindania that why hukusikia Airtel ila kesho au keshokutwa waweza sikia minara ya Airtel iko chini ya kampuni XX.
Ni utaratibu tu ktk outsourcing ya Miundombinu ya Minara wakihusika na usalama wa kila kilichopo pale ktk minara....Tanzania tulifuata kua na Branch tu ila West Africa walishakuwepo kabla yetu.
Natumai nimesaidia!!
 
Huyu Mwandishi wa JamiiForum aliyehariri hii post Kenge kweli huyu. Dola Bilion Moja zinageukaje kuwa Shilingi milioni 220? Hawa waandishi wa Tanzania kenge kweli hawa....

habari yenyewe ni hii: Vodacom has invested over $1 billion in the country in building its second and third generation infrastructure coverage during the past few years, the company announced yesterday.

Inakuwaje Shilingi milioni 220/- hiyo? Mimi nilipost 220,000,000,000/- kaja na kichwa chake nazi eti hiyo ni 220 millioni. Hovyooo....
 
billioni 220 ndi ndogo?. Umeitizama vizuri hiyo tarakimu lakini? kama mnara mkubwa ni 50m/- hebu gawanya 220,000,000,000 Gawanya kwa 50,000,000 unapata minara mipya mingapi! iko wapi hiyo minara mipya katika mazingira ambayo mwenye minara ni mwingine kwa maelezo ya mdau mmoja hapa.

Mnara milioni 50?? Labda mnara wa miti sio wa kile chuma.... Kwa UFUPI mi najua mnara unarange kati ya milioni 300 - milioni 500 hapo ujaanza kufunga vifaa vya network.

Bilioni 200 ina maana si chini ya minara 800.... Dar kuna minara 500-700
 
Kama zile nguzo mpya za Grid ya taifa za umeme kwa kuanzia tu mifuko isiyopungua 300 inazamishwa chini na hadi nguzo inasimama gharama yake haipungui Million 180 je ukiringanisha huo mnara wa Vodacom wenye kuwekewa vifaa mbali mbali ambavyo hata wewe gharama zake hauzijui je ni halali kwa wewe kushangaa hiyo million 220? tatizo umejikita kwenye mawazo ya kimasikini masikini ndio maana unaona hiki ni kitu cha ajabu.

Huyu Mwandishi wa JamiiForum aliyehariri hii post Kenge kweli huyu. Dola Bilion Moja zinageukaje kuwa Shilingi milioni 220? Hawa waandishi wa Tanzania kenge kweli hawa....

habari yenyewe ni hii: Vodacom has invested over $1 billion in the country in building its second and third generation infrastructure coverage during the past few years, the company announced yesterday.

Inakuwaje Shilingi milioni 220/- hiyo? Mimi nilipost 220,000,000,000/- kaja na kichwa chake nazi eti hiyo ni 220 millioni. Hovyooo....
 
Hiyo figure ni ndogo kwa mnara. Huo ni lazima mnara wa 35m sana sana mpaka 50m tena ni wa coverage tu.

Sitashangaa ukiwa ni wa UCAF tena.

TZS 200mil sio nyingi kwa mnara. I know coz I build them.

Figure in Zaidi ya Billioni 220 mkuu. Ndogo Hizo? Kuna modi kabadili post!
 
billioni 220 ndi ndogo?. Umeitizama vizuri hiyo tarakimu lakini? kama mnara mkubwa ni 50m/- hebu gawanya 220,000,000,000 Gawanya kwa 50,000,000 unapata minara mipya mingapi! iko wapi hiyo minara mipya katika mazingira ambayo mwenye minara ni mwingine kwa maelezo ya mdau mmoja hapa.

Kiongozi,

Kichwa cha topic kinasema "minara mipya ya Vodacom sh220 milioni, si uongo huu"

Anyway hakuna mnara mmoja wenye gharama ya TZS220 bilioni.

By the way, 35m ina maana 35 meter tower na 50m ina maana 50 meter tower na si pesa. Ni tower height. Akina Telecoms wanaielewa hii.
 
Nijuavyo vodacom hawamilikı tena minara balı wana-outsource huduma za minara toka makampuni mengne(naomba kusahihishwa na mwenye facts zaidi).Na kwa maagizo ya NEMC,minara hiyo itaweza kutumiwa na kampunı zaidı ya moja.

Kweli minara yote ya Voda wameuzia kampuni ya Helios ambapo kampuni zingine za simu zinaweza ku-rent
 
Asante ndugu mchangiaji. Naomba nitakafakari kuhusu huu mchango wako. Ni kama unajua jambo hapa, lakini ni kweli au si kweli, mtu anahitaji kujifikirisha kwanza. Hii HTT ni mali ya nani?

HTT (Helios Towers Tanzania) ni sehemu ya kampuni iitwayo Helio Towers Africa. Hawa jamaa wapo Ghana, DRC na South Africa. Makao makuu ya Helios yapo U.K
 
Nijuavyo vodacom hawamilikı tena minara balı wana-outsource huduma za minara toka makampuni mengne(naomba kusahihishwa na mwenye facts zaidi).Na kwa maagizo ya NEMC,minara hiyo itaweza kutumiwa na kampunı zaidı ya moja.

Hii nimeipenda. Hapo sasa swali la kujiuliza hizo "second and third generation infrustrure" walizojenga kuleta gharama ya "over 1 billion dollars" ni zipi hasa? Wamejenga Kariba Dam Tanzania? Au wamepewa tenda ya ku-expand Uwanja wa Ndege JNIA? Hii kauli nina mashaka sana nayo kwa kweli. Vodacom has invested over $1 billion in the country in building its second and third generation infrastructure coverage during the past few years Wamejenga nini?
 
Back
Top Bottom