Recent content by Hata Sina kinyongo

  1. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

    Duru za hakika kabisa zinatabanaisha ndugu Kinana huenda akagombea ubunge katika Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM. Sababu kuu mbili zilizo mfanya agombee ubunge ni kwanza mzee yule anaheshimiwa mno na wana Arusha na sifa hiyo pekee uhakika wa yeye kutangazwa mshindi itakuwa mapema tu...
  2. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Kwanini corona haijapata kibali subsahara?

    Hahahaha!
  3. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam baada ya Makonda ni zaidi ya asilimia 80

    Namaanisha ndiye afisa wa Idara ya Usalama waTaifa aliyeiva haswa katika eneo la propaganda.
  4. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

    ... tajiri nyuma ya keyboard hhh!
  5. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

    Kwa hiyo wewe unaitwa dada nani au mama nani?Maana kuna kipindi ulitangaza nia ya kugombea huko ewe tajiri unayeshinda jf!
  6. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

    Chama cha madaktari Nchini Tanzania kimedai kuwa maambukizi na wagonjwa wa Covid 19 yamepungua/wapungua sana hapa Nchini. Akiongea na Idhaa ya kiswahili ya Ujerumani rais wa Chama hicho ametabanaisha kuwa visa vya wagonjwa wa Covid 19 vimepungua na hali hiyo inawapa faraja. "Ikumbukwe hapa...
  7. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo Ikulu ya Chamwino

    Mungu ibariki Tanzania na timu ya Yanga.
  8. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Cummings mshauri wa Boris aliyeweka lockdown na kuivunja mwenyewe ametoa press release

    Kwani Mwamba mbowe amesemaje kuhusu hilo!?
  9. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania How Tanzania is Overtaking Kenya as Regional Economic Powerhouse..

    Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
  10. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Mlima warusha majivu kilomita 3 angani Costa Rica

    Acha yafe yote mashoga yale.
Back
Top Bottom