Kwanini corona haijapata kibali subsahara?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Wazungu walitegemea sub sahara watu wengi sana watakufa.

Lakini cha ajabu corona haijafurukuta kabisa sub sahara.. North africa na south africa imepiga sawasawa. Lakini africa ya weusi haija pata kibali kabisa.

Je sababu ni nini

1. Aina ya maisha tunayo ishi
2. Vyakula tunavyo kula
3. Kuto kuwepo kwa wazee na wenye matatizo ya magonjwa yasiyo ambukiza.
4. Uchawi
5. Maombi
6. Hakuna data kamili
 
Hakuna uwazi kuhusiana na huu ugonjwa.Maambukizi mapya hakuna,waliokufa hakuna, wanaotibiwa ni 4 oh. My God
 
Vijana ni wengi halafu sisi tuna matatizo na magonjwa makubwa kuliko hata corona na tunaishi nayo pia nafikiri sisi ndio superior specie ya binadamu

Kuna kipindi nilienda kupima malaria nilkua najihisi kuchoka choka bas baada ya majibu nashangaa doctor kapaniki ananiuliza umekuaja na nani nikamjibu nimekuja mwenyewe kwa miguu tu akasema aisee wewe siwezi kukuruhusu uende unaweza kwenda kufa akaniandikia sindano za masaa na ya kwanza alimwambia nurse anichome pale pale

Basi akanipa kitanda nikapumzika asubuhi ya siku iliyofuata akaniruhusu na dozi ya dawa mseto.
 
Hahahaha!
 
Wazungu walitegemea sub sahara watu wengi sana watakufa.

Lakini cha ajabu corona haijafurukuta kabisa sub sahara.. North africa na south africa imepiga sawasawa. Lakini africa ya weusi haija pata kibali kabisa.

Je sababu ni nini

1. Aina ya maisha tunayo ishi
2. Vyakula tunavyo kula
3. Kuto kuwepo kwa wazee na wenye matatizo ya magonjwa yasiyo ambukiza.
4. Uchawi
5. Maombi
6. Hakuna data kamili
God's Grace.
 
Uliambiwa WHO ni watabili wa nyota?

Wao majukumu yao ni kutoa tahadhari kutokana na hali halisi. Mnawalaumu wakati hawa ndyo walituambiwa tunawe mikono kwa maji trilika na kuvaa masiki ili kupunguza maambukizi.

Wametusaidia kutupa tahadhari wapumbavu et wanaanza kuwalaumu. Mwafrica bhna
 
Corona haifichiki hata wakificha takwimu,ilivyoteketeza watu ulaya unadhani ingefanya hivo huku wangeweza kuficha takwimu?
Marekani angeweza kuficha wasingeshindwa maana mpaka sasa hakuna habari ya marekani kuzika watu usiku wala kuchimba makaburi mengi kama Brazil.
 
Back
Top Bottom