MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,426
Wakuu mida niko Ngara hapa namsikiliza Rais wa Burundi kutoka redio ya Burundi.
Anaeleza vitu anavyotarajia kuvifanya kwenye siku 100 za kukaa ofisini.
Pamoja na mambo mengi aliyoongea anasema mara baada ya kuapishwa nchi ya kwanza kuitembelea itakuwa Tanzania, ataonana na Magufuli kuimarisha biashara,usafirishaji na usalama na nchi ya Tanzania.
Wakuu nini maoni yenu kwenye hili.