Cummings mshauri wa Boris aliyeweka lockdown na kuivunja mwenyewe ametoa press release

Nimeona anahojiwa, hivi kafanya nini? Kumbe na ulaya uswahili upo? Lakini sishangai nchi za kisultani na ki malkia! Ni watumwa to some extent!
 
Nimeona anahojiwa, hivi kafanya nini? Kumbe na ulaya uswahili upo? Lakini sishangai nchi za kisultani na ki malkia! Ni watumwa to some extent!
Ameweka rules za lockdown akazivunja mwenyewe, kinacholeta utata ni kua kwanini Boris hatari aondoke? Watu wengi wana his I he is the brain behind PM’s power

Nimependa maswali ya waandishi wa habari.
 
Viongozi wa afrika sijui wakoje... Ah! kumbe ulaya, ila hiyo nchi ya kidemokrasia sio kama afrika.
 
Kuna Junior Minister wa UK kajiuzulu kwa sababu hakutaka kuwa sehemu ya serikali inayo support ujinga huu.

Nilivyosikia nikasema ni lini Waziri wa Tanzania kajiuzulu rasmi na wazi kwa sababu hajakubaliana na msimamo wa serikali?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Wengi wa wabunge wa Conservative wanataka ajiuzulu. Hii hali inamuweka Boris kwenye hali mbaya sana, inaelekea anamtegemea Cummings kwa mambo muhimu.
 
Back
Top Bottom