Recent content by Hassanjk

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaweza kuwa na viwanja kama vya Marekani, vikubwa na vizuri kama tukiamua sababu uwezo upo

    Sijui kama uliona infrastracture ya Morocco? Match tano zinachezwa mjini kati na mpira ukiisha ndani ya lisaa watu wote wamesharudi mahotelini na makwao? Zile match ukichezesha Dar au Nairobi watu wengine wataishia kufika Hotelini na makwao kesho yake mchana NA SIJUI KAMA WATARUDI TENA KUANGALIA...
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chivayo aiweka Kenya mfukoni? Kampuni yake yapewa dili la Dola Bilioni 2.9 kuboresha Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA)

    Kuna kitu sijaelewa hapo; RUNWAY MOJA iliyopo kwa sasa inarusha ndege 14 kwa lisaa Umeandika kuwa wakiongeza runway ya pili, zitaruka ndege 63 kwa lisaa; Mbona kama hiyo hesabu haitally?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nasomaje Advanced chemistry?

    Naiheshimu sana Chemistry Physics kama ulifanya vizuri kwenye Maths inasomeka Hapo hujakutana na mwalimu mwenyewe ana unga unga, hakuna rangi utaacha kuona....
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua kulipwa fidia ya Ksh. 50 M kwa kuondolewa Madarakani

    Huyu mzee wa mlima kenya anajiamini sana hadi anaharibu Lakini pia, hawezi kuingia madarakani kwani anaonekana anasiasa za kikabila. Hawezi kujikita kwenye eneo moja tu la nchi (Mlima Kenya) halafu akashinda urais
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kombora la kisasa la Israel liitwalo “Jericho” litazinduliwa kwa kuipiga Iran Kama italeta mchezo!!!

    Samahani siwezi kubishana na mtu ambaye hana maarifa sorry; kabishane na wajinga wenzako!
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kombora la kisasa la Israel liitwalo “Jericho” litazinduliwa kwa kuipiga Iran Kama italeta mchezo!!!

    Acha basi kuwa mjinga kama mtu ambaye hujaenda shule. Vitu vya kimataifa vinaenda kwa mikataba. Mfano; kuna hii mikataba ya kuzuia mifuko ya plastic; kuna nchi zimesaini kuna Nchi zimekataa' Ina maana zile Nchi zilizokataa kusaini bado zina uhuru wa kuendelea kutumia mifuko ya plastic na hata...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kombora la kisasa la Israel liitwalo “Jericho” litazinduliwa kwa kuipiga Iran Kama italeta mchezo!!!

    Acha matusi ongea kwa hoja...... Israel na hata Marekani hawakuingia mkataba wa kukataa kutumia Cluster Bombs "The Convention on Cluster Munition" kwa maana hiyo hawakukubaliana kuacha matumizi yake hivyo wapo tayari kuzitumia. Hata Iran nayo haikusaini huo mkataba hivyo ipo huru kuzitumia...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mabinti wanaokaa peke yao wanaongoza 'kujibaka'

    Kwa hiyo hata kama ni kwa elimu ya darasa la nne; Kumuona dada mmoja ndio useme ni mabiti wote? Kwa hiyo ukiona mwanamme mmmoja kijana anafanya mapenzi na mbuzi pori; Utasema wanaume wote vijana wanafanya mapenzi na mbuzi pori? Wewe kama umeamua kumdhalilisha, ungeleta kama habari ya mtu mmoja...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kombora la kisasa la Israel liitwalo “Jericho” litazinduliwa kwa kuipiga Iran Kama italeta mchezo!!!

    Mabonu yaliyotumika kule Hiroshima mwaka 1945 leo hii ndio unaita jipya??? Kama unaelewa lugha ya Malikia soma hiyo...... The Jericho series represents Israel’s real-world nuclear-capable ballistic missiles, which are now prohibited from use globally. This development reflects the ongoing...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa inahitaji maboresho

    unahoja usikilizwe!
  11. H

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Credit Note wa NCAA ni kero kwa makampuni

    Fikiria; Umelipia gari uzito 1900, ukabadilisha gari la uzito 2700. Unaambaiwa ucancel permit halafu usubiri siku saba na kuendelea; ndio waruhusu kuitumia tena hiyo hela. Fikiria una wageni 12 mmoja akaumwa (ujue wawili watabaki nje (mke na mume) kwa muda) utaratibu ni kuwa ucancel permit ya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

    Kumbuka tu kuwa; Mungu hujibu maombi yenye Ukweli/Uhalisia na sio Fitna. Wewe mwenyewe umeweka ushahidi hapo kuwa alichokuwa anafanyiwa ni FITNA ambapo tunajua kabisa kuwa Mungu hawezi kujibu fitna; hivyo kilichotokea ni ajali kama ajali na sio Albadru....tafuteni elimu kabla ya kuleta hoja za...
  13. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

    Mungu hujibu maombi yenye Ukweli/Uhalisia na sio Fitna. Kama ni kweli alichokuwa anafanyiwa ni FITINA ina maana Mungu hawezi kujibu hivyo kilichotokea ni ajali .... Nirudi kwenye mchango wako hapa; ni kweli kabisa kwenye hizi Dini watu hawatumii akili kabisa Mfano: Mchungaji Kibwetere aliua...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Haji Manara kurejea Simba, na Ahmed Ally kupandishwa cheo

    Bila kuingilia mada Hapo kwenye Mshahara, nahisi umeona 70M per annum, ukajua ni kwa mwezi. Japo sikulaumu kwa kuwa lugha za mikataba ni tofauti kidogo. (Kwa kukusaidia; per Annum, maana yake ni kwa mwaka hivyo ukitaka kuujua mshahara kwa mwezi unagawanya kwa 12). Kwa hizo nafasi mara nyingi...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba kuweni makini na wapangaji WEZI WA UMEME

    Labda nyumba za zamani Nyumba za miaka ya hivi karibuni Mita ipo juu ya Nguzo; huyo mwizi labda awe kishoka wa Tanesco
Back
Top Bottom