Fikiria; Umelipia gari uzito 1900, ukabadilisha gari la uzito 2700. Unaambaiwa ucancel permit halafu usubiri siku saba na kuendelea; ndio waruhusu kuitumia tena hiyo hela.
Fikiria una wageni 12 mmoja akaumwa (ujue wawili watabaki nje (mke na mume) kwa muda) utaratibu ni kuwa ucancel permit ya wageni 12 utengeneze ya wageni 10 na baadae utengeneze ya wawili wakipona.
Sasa ukicancel ya wageni 12 ambopo hapo unaongelea milioni 6 na kuendelea; unaambiwa usubiri siku 7 na kuendelea ndio waruhusu kutumia hizo pesa. Na kama kikampuni chako hakina jina ndio basi tena, utasubiri sana
KWANINI WASIRUHUSU MFUMO UFANYE HIYO KAZI KAMA TANAPA?
Huu ni usumbufu mkubwa kwa makampuni hasa madogo yasiyokuwa na mtaji mkubwa.