Haji Manara kurejea Simba, na Ahmed Ally kupandishwa cheo

Nenda nae taratibu mkuu, kama ushajua akili za utopolo ni sawa na gari bovu mbio za nini? Halafu hii nchi kuna mambo huwa yanafanyika kwa akili za kisiasa. Likitokea wala hushangai.
Nchi imelala CCM wanatafuta njia ya kuiamsha, na hili litawezekana ila mambumbumbu yapo yanapisha.
Leo alikuwa atokee Super Domme ila Kuna mambo hayajakaa sawa, ataonekana Simba day
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh

Hahahaha
 
Habari za uhakika ni kuwa Haji Manara amekubali kurejea Simba, Baada ya Rais wa Club hiyo Mo Dewji kumuomba msamaha sana ili arejee

Haji Manara ilikuwa aonekane Leo kwenye uzinduzi wa jersey za Simba, lakini kutoka na malipo yake kutoka Kwa Mo Dewji kucheleweshwa, Sasa ni dhahiri tutamwona Simba day

Kumbuka Haji Manara aiitoka Simba 2021 akilalamika kuwa Mo Dewji na Babra walimhujumu na kumfukuza kama mbwa

Pia akilalamika kuwa alikuwa akilipwa mshahara kidogo kiasi cha laki 7 tu.

Pia Manara alitoa laana kuwa Simba haitatwaa ubingwa wowote zaidi ya miaka 10.

Na kweli Toka Haji Manara atoke Simba haijawahi kutwaa hata kombe la Mapinduzi.

Uongozi wa Simba ukiongozwa na Mo Dewji wameamua kumrejesha Haji Manara, na hiyo atakuwa akilipwa million 70 Kwa mwezi na marupurupu mengine

Simba Sasa wanasafisha njia Yao

Diwani mtarajiwa wa Kariakoo, we piga pesa za mambumbumbu, wao wanajua ukienda pale umbumbumbuni watatwaa ubingwa

Pia a

Bint Hersi. Ndo jamaa yako kakwambia hivyo? Nyie watu mkipenda wanaume kila mwanaume anachokuambia unaamini. Nmecheka sana. Hayo ni mahaba niue.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui

Bila kuingilia mada
Hapo kwenye Mshahara, nahisi umeona 70M per annum, ukajua ni kwa mwezi. Japo sikulaumu kwa kuwa lugha za mikataba ni tofauti kidogo. (Kwa kukusaidia; per Annum, maana yake ni kwa mwaka hivyo ukitaka kuujua mshahara kwa mwezi unagawanya kwa 12). Kwa hizo nafasi mara nyingi mishahara huwa ya wastani kwa kuwa ina ambatana na vitu vingine vingi nje ya mshahara kama Gari, nyumba nk
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ma
Habari za uhakika ni kuwa Haji Manara amekubali kurejea Simba, Baada ya Rais wa Club hiyo Mo Dewji kumuomba msamaha sana ili arejee

Haji Manara ilikuwa aonekane Leo kwenye uzinduzi wa jersey za Simba, lakini kutoka na malipo yake kutoka Kwa Mo Dewji kucheleweshwa, Sasa ni dhahiri tutamwona Simba day

Kumbuka Haji Manara aiitoka Simba 2021 akilalamika kuwa Mo Dewji na Babra walimhujumu na kumfukuza kama mbwa

Pia akilalamika kuwa alikuwa akilipwa mshahara kidogo kiasi cha laki 7 tu.

Pia Manara alitoa laana kuwa Simba haitatwaa ubingwa wowote zaidi ya miaka 10.

Na kweli Toka Haji Manara atoke Simba haijawahi kutwaa hata kombe la Mapinduzi.

Uongozi wa Simba ukiongozwa na Mo Dewji wameamua kumrejesha Haji Manara, na hiyo atakuwa akilipwa million 70 Kwa mwezi na marupurupu mengine

Simba Sasa wanasafisha njia Yao

Diwani mtarajiwa wa Kariakoo, we piga pesa za mambumbumbu, wao wanajua ukienda pale umbumbumbuni watatwaa ubingwa

Pia a
Malipo ya nini?
 
Bint Hersi. Ndo jamaa yako kakwambia hivyo? Nyie watu mkipenda wanaume kila mwanaume anachokuambia unaamini. Nmecheka sana. Hayo ni mahaba niue.
Huwa una shobo na kulazimisha nikuingilie huko nyuma iliko mbolea,
Acha shobo mrembo
 
Wacha weeeh... Huwa naambiwa watu aina yenu mna maneno sana. Kipenzi cha Hersi. Ndo amekuambia haya uliyoandika? Ngara kwa lugha ya kwetu ni msichana mbichi. Ila wewe unampenda sana Hersi sijui kama anajua
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Wacha weeeh... Huwa naambiwa watu aina yenu mna maneno sana. Kipenzi cha Hersi. Ndo amekuambia haya uliyoandika? Ngara kwa lugha ya kwetu ni msichana mbichi. Ila wewe unampenda sana Hersi sijui kama anajua
Dhahiri unanifatilia sana,
Ila kumbuka watu kama nyie wanaume mlionleft Huwa siwatumii,
 
Payge Bridger Active 255Fixer
Mnaruhusu katika matani yetu tuingize na wazazi ambao hawamo humu? Maana mimi nlilelewa kwa heshima sana na nimekua hivyo hata huyu ngara pamoja na issues zake namheshimu mama yake maana naamini amekua akifanya ambayo ni maamuzi yake. Naombeni tu kibali chenu.
Una ID nyingi unakujaga hapa kunitukana na kunidhalilisha
Una ID zaidi ya 6 na zote zinanishambulia.
Nimeleta Uzi kuhusu Haji, watu wanachangia hoja vizuri, wewe unasema matembea na Hersi.
Usinichagulie silaha
 
Hebu zitaje hizo IDs halafu weka na ushahidi ngara . Akina ngara wote huwa mnakuwa hivi nlishawahi kuwa na kangara flani kalikuwa hivi hivi kalalamishi, kanajishuku na kalevi kakipenda hakafikirii. Nitajie hizo IDs zifungiwe ngaramtoni 😁
 
Nakupuuza
Hebu nikuweke ignore list
Kwaheri
 
Habari za uhakika ni kuwa Haji Manara amekubali kurejea Simba, Baada ya Rais wa Club hiyo Mo Dewji kumuomba msamaha sana ili arejee

Haji Manara ilikuwa aonekane Leo kwenye uzinduzi wa jersey za Simba, lakini kutoka na malipo yake kutoka Kwa Mo Dewji kucheleweshwa, Sasa ni dhahiri tutamwona Simba day

Kumbuka Haji Manara aiitoka Simba 2021 akilalamika kuwa Mo Dewji na Babra walimhujumu na kumfukuza kama mbwa

Pia akilalamika kuwa alikuwa akilipwa mshahara kidogo kiasi cha laki 7 tu.

Pia Manara alitoa laana kuwa Simba haitatwaa ubingwa wowote zaidi ya miaka 10.

Na kweli Toka Haji Manara atoke Simba haijawahi kutwaa hata kombe la Mapinduzi.

Uongozi wa Simba ukiongozwa na Mo Dewji wameamua kumrejesha Haji Manara, na hiyo atakuwa akilipwa million 70 Kwa mwezi na marupurupu mengine

Simba Sasa wanasafisha njia Yao

Diwani mtarajiwa wa Kariakoo, we piga pesa za mambumbumbu, wao wanajua ukienda pale umbumbumbuni watatwaa ubingwa

Pia a
Haji asikubali mpaka alipwe advance angalau 20% ya mkataba.
Gabachoti ni Janja janja sana huyo, unaweza ukaenda ukajikuta hatimizi ahafi.
 
Back
Top Bottom