Naomba kuuliza maana nimeingia hapa nakuta sehem ya ku upload picha tu.
Na hapa nina barua, swali langu je hii barua tuna upload wapi?
Au hii ni step 1 ndio natakiwa ni upload picha kisha kuna step 2 ndio ntatakiwa ni upload barua?
Au hakuna ku upload barua ni picha tu?
Naombeni majibu kwa...
Nakumbuka nilikuwa natumiaga app moja hv inaitwa unfollow
ila kwasasa hv sikushauri maana Instagram wameweka sheria ngumu mno ambayo ukitumia hyo APP uka unfollow wote kwa pamoja account yako inakuwa block.
Labda ufanye tu Manually na hapo kwenye syo unfollow watu wote kwa mda mmoja NO.
just...
Simu nilinunua mpya kabsa dukani na ilikuwa inafanya kazi vzury tu nashangaa kipindi hiki inaleta shida hii wakat haikukutana na tatzo lolote la kuanguka na nimejarbu line tofaut tofaut lakn naona bado tu
Kwa mjini cjawai toka nayo tangu ilete shida hii uwaga naichaga ila naona simu zingine...
Habar zenu wakuu kuna simu hapa inasumbua sijajuwa naombeni msaada. Simu yenyewe ni Samsung Galaxy Tab A 2016
Simu hii tatzo linakuja pale napo washa data mnara ama network inashuka mara inapanda mara inaondoka kabsa
Unaweza ukawasha data ikaandika 4g mara muda huo huo ikawa andika E mara...
Sure maana naona mtu anaweka tangazo lake halafu ma developer wana comment chini tena kwa wingi sana na wengine wana shuka bei
Naona kikubwa hapo ufanisi wako wa kazi na sample za kazi zako ndizo ztakazokufanya upate kazi zaidi na zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar za muda huu wakuu.
Naombeni ufahamu zaidi juu ya hiki kifaa
Hii ni friedge ama fridge freezer kampuni ya siemens sasa nikifungua mlango wa fridge kwa juu nakuta hiki kifaa ambacho na imani cha ku setting kiwango cha kugandisha nafikiri japo sina uta alamu nimeleta kwenye mnijuze...
Hivi kuna mtu aliyewahi kufungiwa akaunti yake ya Adsense (Adsense Disable) halafu akapewa option ya ku appeal na akafanikiwa kurudisha akaunti yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.