Jinsi ya kupata pesa na online survey

Jinsi ya kupata pesa na online survey

Hizi hazina ela utapoteza muuda aisee piga freelancing kama hivi mwezi wangu unaanza tarehe 6 shaingiza zaidi ya 2mls hapo ni platformmoja nikienda upwork nako nishaingiza kama laki nane
View attachment 1434878
Survey hazina deal
mkuu naomba nielekeze namna ya ku apply job husika ili niweze kuifanya na nipate malipo
 
Hizi hazina ela utapoteza muuda aisee piga freelancing kama hivi mwezi wangu unaanza tarehe 6 shaingiza zaidi ya 2mls hapo ni platformmoja nikienda upwork nako nishaingiza kama laki nane
View attachment 1434878
Survey hazina deal
Share mgodi hapa watu tuingie tuchimbe tupate madini
 
Hapo kwenye Voice Over Kupata connection pia issue sio kirahisi mimi nina hiyo tallent lakini napata issue mara moja kwa miezi miwili
 
Hapo kwenye Voice Over Kupata connection pia issue sio kirahisi mimi nina hiyo tallent lakini napata issue mara moja kwa miezi miwili
Sure maana naona mtu anaweka tangazo lake halafu ma developer wana comment chini tena kwa wingi sana na wengine wana shuka bei

Naona kikubwa hapo ufanisi wako wa kazi na sample za kazi zako ndizo ztakazokufanya upate kazi zaidi na zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye Voice Over Kupata connection pia issue sio kirahisi mimi nina hiyo tallent lakini napata issue mara moja kwa miezi miwili
Yah uko right lakini saa nyingine ni kumshawishi client kuwa uko full loaded mfano kama upwork unaweza weka attachment ya min studio setup kumshawish client kama unayo
 
Wabongo wavivu, uswahili swahili, poor to worst customer care, no creativity na kutoheshimu mikataba na makubaliano.

Msihangaike na kazi za huko hamtaweza kwa tabia hizo.

Kule hakuna, jana nilipata homa, mara mguu umeniuma usiku kucha, ooh nilifiwa na mtoto wa babba mdogo mara ooh nilikosa pesa ya bando wananiloga.

Naona watu wanachukulia kama kule kuna pesa ya bure bure.
 
Attachments

  • msaada.PNG
    msaada.PNG
    12.9 KB · Views: 49
Si article writting hiyo inamaanisha utakuwa tayari kufanya masahihisho mara ngapi yani unamtumia client labda anaikurdishia uirekebishe
Okay asante sana mkuu nilikuwa nafikiria hivyo hivyo.Naomba usinichoke mkuu kwa maswali [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom