Naombeni ufafanuzi juu ya hiki kifaa

Naombeni ufafanuzi juu ya hiki kifaa

hashimrashidy

Senior Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
197
Reaction score
145
Habar za muda huu wakuu.

Naombeni ufahamu zaidi juu ya hiki kifaa

Hii ni friedge ama fridge freezer kampuni ya siemens sasa nikifungua mlango wa fridge kwa juu nakuta hiki kifaa ambacho na imani cha ku setting kiwango cha kugandisha nafikiri japo sina uta alamu nimeleta kwenye mnijuze

Ukiangalia hiki kifaa hapo kwenye picha upande wa kushoto imeanza na button iliyo anikwa SUPER ikifuatiwa na button iliyo andikwa MAX

halafu ikifuatiwa na button ambazo zipo kwa alama ya negative (-) halafu kuna namba namba hzo zimeanzia kubwa kushuka chini yani -22 -20 -18 -16 halafu ikifuatiwa na button iliyo andikwa alama ya Centigrade ikamalizikia na button ya power ambayo nikibonyeza nazma fridge au nawasha fridge

Sasa ninacho omba kwa mwenye uelewe juu ya hv vtu hanijuze hapo hzo zna maana gan na je kama nikitaka kugandisha maji kuwa barafu natakiwa ni wekeje...???

Nimeambatanisha na picha hapo chini kwa uelewa zaidi

Natanguliza shukran
20200406_195810.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu cha maelekezo cha hiyo fridge kinasemaje kuhusu hizo settings?
 
Kwa nilivyoelewa ni kuwa hizo nyuzijoto kuanzia -16°C ni ubaridi wa chini na -22°C ni ubaridi wa juu na hii ni kwa vile maji huganda kuanzia nyuzijoto 0°C kwenda chini zaidi. Hiyo super ni kwa ajili ya ubaridi wa juu zaidi ya vipimo hivyo vilivyoainishwa hapo au kupooza kwa haraka.
 
Shi
Kwa nilivyoelewa ni kuwa hizo nyuzijoto kuanzia -16°C ni ubaridi wa chini na -22°C ni ubaridi wa juu na hii ni kwa vile maji huganda kuanzia nyuzijoto 0°C kwenda chini zaidi. Hiyo super ni kwa ajili ya ubaridi wa juu zaidi ya vipimo hivyo vilivyoainishwa hapo au kupooza kwa haraka.
Shukran sana mkuu ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu...kuna nyuz iliwahitolea maelekezo kuhusu hilo sema jina nimesahau...Ila kimsingi inazungumzia freezing point,,Inamaana unaset kulingana na ubaridi unaohitaji..Usijebonyeza Super ukagandisha vitu mpaka kupasuka
 
Weka Super na 16° kitu konki kabisa...ukirudi 22 umepunhuza kiasi

Weka Max na 16° itakuwa poa pia ila sio level za super, pengine ina tia barid bila kuganda jiwe. Bila sha 22° itakuwa moderate yake

Kila la heri

Dumelang
 
Back
Top Bottom