B bievinii JF-Expert Member Joined May 12, 2021 Posts 712 Reaction score 738 Aug 24, 2021 #1 Habari, Nina mwanangu ana mwaka na miezi kadhaa huwa anslilia simu yangu naombeni elimu ya kutanya ili asifute vitu vyangu mule maana ye anagusa popote tu.
Habari, Nina mwanangu ana mwaka na miezi kadhaa huwa anslilia simu yangu naombeni elimu ya kutanya ili asifute vitu vyangu mule maana ye anagusa popote tu.
hashimrashidy Senior Member Joined Sep 11, 2015 Posts 197 Reaction score 145 Aug 24, 2021 #2 Kids home Kids palace Zipo playstore kama una androids
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,213 Reaction score 80,141 Aug 26, 2021 #3 Mwaka na miezi mbona bado mdogo sana kuanza kuchezea simu. Kwanini asinunuliwe toys tofauti na hizo gadgets.
Mwaka na miezi mbona bado mdogo sana kuanza kuchezea simu. Kwanini asinunuliwe toys tofauti na hizo gadgets.
Jumbe Brown JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 12,035 Reaction score 12,812 Aug 26, 2021 #4 Mwanga wa simu kwa mtoto mchanga ni hatari.... Mtafutie toys ambazo hawezi akameza na zisizoweza "kuchambuka"....
Mwanga wa simu kwa mtoto mchanga ni hatari.... Mtafutie toys ambazo hawezi akameza na zisizoweza "kuchambuka"....