Najaribu kudevelop App ambayo unaweza kujifunza na kusoma Holly Quran kwenye simu yako

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
965
1,691
Am working on Holy Quran App by #FLUTTER

Sio muumini mzuri wa dini na maudhui yake lakini naamini uwepo wa imani na mafundisho ya dini ndio unafanya hadi sasa tunaishi kwa amani
So hii inaweza kua moja ya vitu muhimu.

Najaribu kudevelop App ambayo unaweza kujifunza na kusoma Holly Quran kwenye simu yako ..

App za namna hii zipo nyingi sana play store lakini ziko very shallow ,poor user interphases.

Nimeweka source code open github kwa serious developer wanao hisi anaweza Fanya,
kitu nicheki nikupe link tufanye collaboration(only serious ones)

Kwa wasio madeveloper pia unaweza test app nikupe APK ucheki,maoni yako yanaweza kusaidia kupata kiricho bora
(Only serious ones as usual)

Sijafanya ya Holly bible kwasababu upande huu zipo za kutosha na ni bora pia

Ningependa kujua mambo muhimu kwenye Quran kwa wale walio wailam.
View attachment 1605583
 
Jamii forum skuiz imefamiwa na wahuni we Facebook wazee kama huna chama maana cha kuchangia si unakaa tu kimya
 
Kwa huu uandishi umetengeneza app kweli wewe??Tena ya quran inayoangalia hadi koma,??
Code na spells ni vitu viwili utofauti japo vinawiana bro nnacho zingatia unielewe and kikibwa sina mpango wa kibishana na wewe !


App imeandikwa kwa flutter (dart ) kwa user interfaces
Na inafetch data kutoka kwa holy Quran API (Ni bure) globe ..

kingine cha kukushauri jitahidi kua muungwa mitandaoni,
hizo unazo Fanya wewe ni sifa za kitoto wanafanya wakiwa na miaka 14-17...jielewe mzee utuuzima haunaga kengele..
 
Uzi una lengo zuri lakini watu wa dini wamehuaribu.

Ndio maana nikasema dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika.

Ona comment zao zinavyosikitisha.
 
Back
Top Bottom