Humu wamejaa wanajeshi vilaza ndo wanaojibu majibu ya viroba eti jeshi nikujitolea hakuna mshahara hebu serikali isiwalipe miezi miwili tu tuone huo uzalendo wenu mnaousema na kujitolea kwenu unakuta wanajeshi wanaburuza vitambi eti nawenyewe wanajitolea hahahaha tanzania raha sana kuishi
Polisi ni wasimamizi wa sheria koo jw wakija huku uraiani wanafikiri wapo makambini hawataki kufata sheria anakutana na polisi analazimishwa kufata sheria ndo maana wanawachukia polisi
Hivi kati ya mwanajeshi na police ffu nani anakaa na siraha muda mwingi wale wanajeshi kazi yao fatiki za kufagia na kufyeka makambini lindo inchage ndo anaebeba smg yenye risasi ambae mwenye cheo kuanzia cpl
Police kuipata nyota lazima uwe na degree na umefanya kazi zaidi ya miaka mitatu. jwtz wao kuipata nyota ni kuanzia form six ya devision 4 na kuendelea
Jwtz ilikua zamani sio saivi wengi asikari mshahara hata huko depo wanawapa rushwa wale wakufunzi wanalala tu eti unaambiwa huyu asikari katoka depo ukimcheki bado raia kabisa ila macombati tu yamembeba hana lolote
Hivi kuwa jw au polisi ndo unawauwezo wakupiga kila mtu kupigana by hand ni fani nyingine kuna jw alishawahi mzingua trafic kwamba anachelewesha foleni alikua na gari ya jw akashuka kutaka kumpiga trafic alikula ngumi moja tu chali aliambika vibaya
Kwann atake kumgonga asikari tena yuko na silaha kama ndo mm yakichwa ni halali yake angegongwa huyo asikari na silaha ikaenda mgechangia kama mnavyochangia acheni unafiki
Sasa ww umeshindwa eti unaenda kuwashukuru wananchi kama sio kutafuta uchokozi tu na utawala uliopo madarakani hahahaaa hebu tuache mambo mengine ya kijinga tujenge nchi
huyo mtoa mada ni me au ke nakama kweli we mfuasi wa chadema bac mkapa hakukosea mkumbo hajapanda cheo bali kahamishwa kituo cha kazi acheni kuleta story za kwenye kahawa humu mmekosa hoja mnakurupuka tu msiba umeisha safari hii sijui mtamuua nani ilimpate tena kusikika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.