wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,402
Kuna baadhi ya imani hazina manufaa kabisa
..nilitegemea utakuja na faida zake....
Kuna baadhi ya imani hazina manufaa kabisa
Watu wakigoma wanaimani hizo sana nliwahi safiri kwa gari hadi kigoma watoto wote kwenye hilo gari walikuwa wamefungwa kiuzi cheusi mkononi na kiunoni hadi leo sikuwahi kujua ina maana gani
..nilitegemea utakuja na faida zake....
Basi walokole kazi mnayo huyo mtoto wameshawekeza mizimu na majini ndani yake.
Eti hakuna asiye zindikwa duniani hivi wewe kwa akili yako unafikiri watu wote wanaamini ktk mambo kama hayo mf.mimi nina watoto wangu hakuna aliye wahi kwenda hata kwa mganga wa kienyeji na sitegemei kwenye familia yangu kamanitafika kwa mganga wa kienyeji
Ukipata mtoto ndio utajua wala si ajabu watanzania wengi huvushwa hivo ata ww uliveshwa
Uliza wezi walochanjia hirizi kama ni kweli hazina msaada...Hirizi haina msaada, ona Ndaw wa Simba na hilo bonge la hirizi na ametemwa.