Recent content by Haruna Malima

  1. H

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    Millya C.V ya LL.M ina mashaka 'Hapa nilipo nina shahada ya pili katika Sheria za Haki za binadamu na demokrasia niliyoipatia katika vyuo vikuu vya Pretoria, Afrika Kusini na American University of Cairo.' Masters moja vyuo vikuu viwili, nchi mbili tofauti na siyo affiliate ya chuo kingine...
  2. H

    SUMAYE: Je Anafaa Kuwa RAIS?

    Hafai ana mikono mirefu.
  3. H

    Vijisenti

    The Decision is in hands of the Government of Tanzania, either to sue her officers and others involved in the scandal or to assume Bongo Tambarare as usual.
  4. H

    Uchaguzi 2010: Zitto, Mbatia wajitosa Ubunge!

    Alijilaza wodini M'2 siku ya mswada wa madini Buzwagi. Kigoma anaiona shubiri. Janja ya nyani kwisha jua.
  5. H

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Thread hii haina manufaa kwa watanzania wanaoona mbali. Inabomoa badala ya kujenga. Inajenga hisia potofu miongoni mwa watanzania. Msiikumbatie wakubwa wa mtandao huu.
  6. H

    16 Wauwawa kwa Kucharangwa Mapanga Usiku wa Manane-Musoma

    Usahihi ni kwamba Mauaji yamefanyika nje ya Manispaa ya Musoma Kata ya Buhare Kitongoji cha Mugaranjabo na siyo TARIME. Mazishi yamefanyika asubuhi ya saa tano na Watuhumiwa watatu wameshakamatwa katika Kijiji cha Nyegina, Musoma Vijijini..
  7. H

    Tanzania Presidents: Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete

    Mtoa hoja ni mchanga wa historia ya nchi hii.Tanzania kabla ya vita na Uganda tuliishi kwa shibe na amani. Ni baada ya 1980 ndo dhiki ilianza. Nchi haikuwa na wataalam wa kutosha wala teknolojia iliyo juu kama ya sasa. Benchmarking inaangalia timeframe, industry na aina ya firm.Mtoa mada kalewa...
  8. H

    Ahmadinejad: Iran is now a nuclear state

    Ahmadnejad si Punguani. Ana elimu ya kutosha, Masters holder. Mwanasiasa aliyepevuka, Wamarekani wamemshindwa. Mbali na plot nyingi walizomfanyia ikiwa pamoja na kumpandikizia vibaraka wa upinzani. Anaendesha taifa lake Kisayansi. Ni mkweli na si bendera fuata upepo. Punguani ni yule asiyeyaona...
  9. H

    In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

    Lowasa ni MWIZI. Rejeeni Hotuba za BABA WA TAIFA
  10. H

    Mrema pumzika baba

    mbona Mzee wa Kilwa ni skeleton haamsemi sura yake.kinachotakiwa ni fikra chanya siyo sura.Hata wewe Mmakonde ya kwako ina kasoro.
  11. H

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    kama kakamatwa na Polisi ni HUJUMA! KUMDHOOFISHA KIKAZI. It is a plot planned by the corrupt officers!
  12. H

    Moi campaigns for Museveni 4th term

    The comments made by former/ retired President of Kenya, Daniel Arap Moi when hosted by President Museveni in Uganda are optimistically accepted but politically nurtured, because they do not suffice the development thirst of Ugandans. Museveni has done a lot in Uganda by using too much...
  13. H

    Sifa 10 za Mafisadi ambazo wasingependa ujue

    MAFISADI Wana DINI na ni WANASIASA sema implementation ndo sifuri. Ni Wakaidi wa imani zao na sera za vyama vyao. Mfano, Bilioni ni vijisenti, nguo kufuliwa London, Kuagiza bidhaa kwa kukwepa ushuru kwa jina la dhehebu ktk maghala yao ya Kurasini DSM.
  14. H

    Kama Wewe Ni Mzalendo, Usifungue Hapa: Utahuzunika - Haki Elimu!

    Nyoka akidondoka mapumziko na mvua ikinyesha likizo! Ufisadi mtupu. Kauli mbiu "MAADILI KWANZA".
  15. H

    Waraka wasambazwa kuitafuna CCM 2010, kanisa Katoliki laukana

    President Kikwete is The Best of The Best! Has nothing to go antagonistically with Catholic Church, neither a Mosque! Kilaini transfer is normal staffing procedure of the Church strategic level. Waraka huo ni wa wahuni si wa kanisa.
Back
Top Bottom