16 Wauwawa kwa Kucharangwa Mapanga Usiku wa Manane-Musoma

Usahihi ni kwamba Mauaji yamefanyika nje ya Manispaa ya Musoma Kata ya Buhare Kitongoji cha Mugaranjabo na siyo TARIME. Mazishi yamefanyika asubuhi ya saa tano na Watuhumiwa watatu wameshakamatwa katika Kijiji cha Nyegina, Musoma Vijijini..
 
nini kifanyike kubadilisha haya kwa sababu yanaumiza jamii nzima ya Watanzania sio Raia wa Mara pekee

Ingekuwa enzi za mwalimu hawa wote wanasambaratishwa na wanagawanywa katika mikoa mingine 30 ili kupunguza majinamizi ya ukoo na nasaba za kijingajinga!..huh!
 
..badala ya kupeleka askari Darfur bora tungewapeleka Musoma wakasaidia kazi ya ulinzi.
 
Ingekuwa enzi za mwalimu hawa wote wanasambaratishwa na wanagawanywa katika mikoa mingine 30 ili kupunguza majinamizi ya ukoo na nasaba za kijingajinga!..huh!

Teh teh teh teh
si kweli mauaji ya namna hii yalikuwapo hata mwalimu alipokuwapo. tofauti ya sa sa na wakati ule ni kwamba chombo pekee cha habari kilikuwa RTD ambayo hata ilikuwa haina cover ya sehemu kubwa ya TZ.

Kipindi cha mwalimu KBC yani shirika la utangazaji la kenya ,binafsi nilifikiri ni radio moja kabambe ambayo ipo tanzania.

Matatizo wakati wa mwalimu yakuwa matatizo makubwa tena sana kuliko yaliyopo leo. Sisemi kwamba mwalimu alifanya vibaya lakini pia mwalimu hakufanya vizuri.

Positive moja tu kuu mie binafsi ninayompa mwalimu ni uwezo wake wakutochukuwa rushwa. Lakini mengine hasa haki za binadamu zilikiukwa sana kipindi hiki.
 
nimeangalia mazishi haya kupitia television news loh sijawahi kuona visasi vya namna hii mungu ziweke roho za marehemu pema peponi inatisha sana
 
Sijui kwa nini lakini sioni kama serikali inalipa uzito unaostahili suala hili. Sijasikia Rais au PM wakitoa tamko na kutueleza hatua wanazochukua! Kupoteza roho za watu 17 kwa sababu yoyote ile haikubaliki.

Unaongelea walio likizo kutumbua pesa za walipa kodi?
 
Musoma ni musoma! na Tarime ni Tarime

Ni Manispaa ya Musoma - sehemu inayoitwa Buhare. Jamani jiografia ni muhimu. Tarime ni wilaya tofauti lakini mkoa ni huo huo mmoja.

Kwa taarifa nilizopata ni kwamba ni kisasi na ndo wakadhamiria kumaliza familia.

May their souls rest in Peace. Lakini tunaishi kama binadamu lakini kuna wanyama miongoni mwetu. Soo sad,
 
..badala ya kupeleka askari Darfur bora tungewapeleka Musoma wakasaidia kazi ya ulinzi.

02_10_29erqv.jpg

Ataacha vipi kutosikiliza amri anazopewa na ******* zake?
 
seems hii ni issue ya kulipizana visasi katika familia na wala haina uhusiano na siasa zinazoendelea huko,polisi na viongozi wa mkoa wafanye kazi yao hapo waache kula pesa za walipa kodi bure na kusingizia siasa kila kitu...hivi yule waziri masha hata kusema kitu hajasema?yule ni zero kabisa bin hasara na sijui anafanya nini pale wizarani.
 
Huu ndio ulikuwa wakati wa mkulu kuwawajibisha watu. Masha jiuzulu kuna mauaji mengi yanatokea nchini na wewe umekaa kimya kama vile umelala usingizi unasubiri kuamshwa. Hawa ni binadamu waliouwawa sio ng'ombe do something man
 
We Pasco usiwe unaropoka wewe, frank sio DC wa huko na hata kama angekuwa DC wa huko hoja unazotoa hazina mantinki. wewe ni member watu wanasoma article zako wanategemea kupata kitu na si porojo. Acheni kubwabwaja kama huna kazi lala.
 
Du... Job true true...
 
jamani tuwe tunafikiria tunapotoa hoja, haya mauaji sio sababu ya walio nacho na wasio nacho, tanzania tu maskini lakini tunapenda wenyewe either kwa njia ya viongozi wetu na sisi binafsi. huwezi ukasema mtu amekosa kazi anakuwa changu, mwizi/kibaka hivi kweli huyo mtu ameshindwa kutafuta kazi? na kazi sio lazima uajiriwe unaweza kujiajiri , angalieni mfano mdogo tu wa waha (watu wa kigoma) msimu wa embe wanavyojaa dar, wakati wengine anaona noma unasubiri mwenzio achume ukaibe. mshahara wa dhambi ni mauti, damu ya hao waliokufa Mungu ataitaka mikononi mwa hao wauaji. Seriou this is tragedy yaani haingii akilini ni exceptional case. Tufanye kazi watanzania sio wote waliofanikiwa wapepata kwa urahisi labda uwe mwizi wa kuvunja nyumba au wa fedha za serikali, tunapenda free lunch au tuna ambition kubwa wakati kitu kama hicho kinahitaji juhudi na muda.
 
No free lunch ... i agree...!
 
We Pasco usiwe unaropoka wewe, frank sio DC wa huko na hata kama angekuwa DC wa huko hoja unazotoa hazina mantinki. wewe ni member watu wanasoma article zako wanategemea kupata kitu na si porojo. Acheni kubwabwaja kama huna kazi lala.

Hapo musoma vijijini si wameichagua CHADEMA na ndio sababu ya CCM kuchochea mapigano hayo.Teh teh the teh teh.

Nimesema siasa za chedema sio, kila kitu kinachotokea wanajaribu kukiweka ktk siasa.
 
hapo musoma vijijini si wameichagua chadema na ndio sababu ya ccm kuchochea mapigano hayo.teh teh the teh teh.

Nimesema siasa za chedema sio, kila kitu kinachotokea wanajaribu kukiweka ktk siasa.
off point..........umefuka moshi mzito wa kuni mbichi............. Umechemka.................umeropoka yasiyo ya kweli............ Una gubu ..................... Unaleta siasa kwenye vifo visivyo vya kisiasa..............
 
Tatizo unakurupuka ,bila hata kuchukua dakika moja kupitia yaliyomo.
Haya maandishi na ya nukuu yapo ktk page 3 kama sijakosea. Naona utagunduwa kati yako na mie nani anakurupuka na mfukaji mzuri wa moshi wa makaa ya mawe.

Quote:

,
Tena nadhani ni Tarime, sikumbuki vizuri ni Musoma wapi, kama ni Tarime, huyu DC, Frank Uhahula, kiongozi mstaafu wa Chipukizi nwa CCM akishirikiano na OCD, anachanganya siasa na uongozi kwa kuwachonganisha wana Tarime kuwa fujo zote, mauaji ya koo na wizi wa mifugo vinatokea kwa sababu wameichagua Chadema.

Kwenye kikao cha baraza la madiwani last week, walimfukuza kwenye kikao, wakazuiliwa na kanuni, ili walimpaka sana, na jamaa akajibu mapigo kwa lugha ya ubabe, kuwa yeye anafuata taratibu, sheria na kanuni.

Walimsifu Kamanda Tosi, kikosi chake ndicho angalau kinafanyan kazi bila kuchanganya na siasa.

Hiyo hapo nyeusi si kweli kabisa na ni ushabiki unaotakiwa kutopewa nafasi. Watu wenye mtazamo wa namna hii ama waandishi wa habari wa namna hii sijui tuwaite je?

Kaangalie historia yako upya? je mapigano hayo hayakuwepo hata wakati wa chama kimoja?
Angalia makabila ya huko utakuta na Kenya makabila hayo yapo , na tena kaangalie mapigano yaliyo mipakani ya kabila kati ya kenya na uganda, kati ya kenya na somalia kati ya kenya na sudani kati ya kenya na ethiopia. Na je huko nako wameichagua CHADEMA.?

Mimi nafikiri njia sahihi ni kuacha uzushi nafikiri itakuwa njia sahihi na nguzo mathubuti ya kuindoa ccm.
 
Hapo musoma vijijini si wameichagua CHADEMA na ndio sababu ya CCM kuchochea mapigano hayo.Teh teh the teh teh.

Nimesema siasa za chedema sio, kila kitu kinachotokea wanajaribu kukiweka ktk siasa.

tumeshindwa kuwasaidia wakurya tukiwa kama watanzania, bado wao wanaamini solution ya kila kitu ni physical engagement!!! we have failed to educate them kuhusu hilo and we shall bear some responsibilities

Halafu Mkama, mimi nilijua Musoma rural na urban ni majimbo ya CCM au nimekosea?
 
NAfikiri Umepatia vizuri sana, na ndio maana kuna mkuu hapo juu alisema mapigano yanasababishwa kwa kuichagua CHADEMA. Ndo bado sielewi inakuwa je hapo.

Ni kweli mapigano ya mara ni mapigano ya kitamaduni (tunaosema tudumishe tamaduni zetu) ya kihistoria za kipumbavu na uwajibikaji wa kijinga.

MAmbo haya sio kuelimishwa tu, lakini pia moja ya kichochezi ni ile sera ya NYERERE na SOKOINE.

Ukikaa chini nafikiri utakuja na jibu ya kwamba sehemu palipo na mauaji ya namna hii ni sehemu ambapo SUNGUSUNGU ya Nyerere na SOKONIE ilipokuwa na nguvu.Jiulize pia kwa nini.?
 
Back
Top Bottom