SUMAYE: Je Anafaa Kuwa RAIS?

Hafai na anamikono michafu, nilitegemea katika conference yake angeanza kwa kuwaomba radhi watanzania na kukubali kwamba ukiwa nje ya madaraka unaona zaidi kuliko ukiwa kiongozi manake yake yeye na Ben walikuwa vichwa ngumu kusikia watu wanasema nini.

Kukumbushia azimio la Arusha leo ni uvivu wa kufikiri kwani zipo namna nyingi ya kupelekea maendeleo na mawazo mapya ndio yanahitajika zaidi. Ukitafisha leo mali za watu binafsi na kuleta ujamaa si tu utaua nchi bali utaleta na vita, viongozi kuwa wafanyabiashara ni kuleta mgongano wa maslahi mfano ni yeye mwenyewe na soko la kibaigwa bila kuwa kiongozi angejuaje litajengwa soko na kuwahi kuwekeza kabla ya soko matokeo yake ni kutumia madaraka ili kulinda maslahi.

Wito kwa viongozi wastaafu kwa wawaombe radhi watanzania na kukubali kwamba wao ni sehemu ya chanzo ya msoto wote huu wanaopata wabongo. Pia wakubali wanatakiwa kusikia wakiwa madarakani sio kuziba masikio na kuona wao wanajua kila kitu wakitoka ndio wanataka kuanza kukosoa wenzao ambao ni matunda ili wasilaumiwe.

Kuwa waziri mkuu miaka 10 inatosha sana na wengine wapate fursa ya kuongoza yeye inatosha, mambo ya museveni bongo hatutaki.
 
Unazungumzia rais yupi? Hata Yanga Afrika wana kiti cha urais pia.

naomba kujibu kwa niaba yake mkuu...Raisi wa taifa letu kama ninavyomnukku hapa chini.

Sumaye, je ni msafi kwamba anafaa kuliongoza taifa letu akiwa kama rais?

Heshima mbele Kiranja Mkuu....

Nadhani inategemea ikiwa usafi ni katika sifa za kukuwezesha kuwa Raisi wa taifa letu...maana kama hivyo ndivyo, sidhani hata kama hawa waliopo kwa rejea ya kagoda agriculture wana usafi wa kustahiki kuwa viongozi wetu.
 
Hafai!
Based on record yake amekuwa WM for 10 yrs nothing extra-ordinary alichokifanya! Sanasana alichokifanya amjilimbikia mali kwa kutumia madaraka yake!Nchi yetu inataka viongozi who can turn things around! Something Extra-ordinary.
Huyo ni wale watu normal business! Hakuna jipya!
 
PM ni post kubwa sana kwa mtu kuonyesha contribution yake. Kama Sumaye amekaa miaka 10 kama Pm na hakuna jipya unategemea hata ukimpa huo U-rais atafanya nini? Lets talk of Fresh blood like Magufuli, I am sure he can make difference
 
PM ni post kubwa sana kwa mtu kuonyesha contribution yake. Kama Sumaye amekaa miaka 10 kama Pm na hakuna jipya unategemea hata ukimpa huo U-rais atafanya nini? Lets talk of Fresh blood like Magufuli, I am sure he can make difference

JK amekuwa kwenye serikali kwa muda gani? Ndiye huyo huyo aliyesign mikataba ya IPTL n.k. Hata Sumaye anaweza tu huenda yuko serious kuliko huyu mkwere
 
yaani kitendo cha wewe kumfikiria kwamba anafaa au laa!, ni lazima tuwe na wasiwasi juu ya uwezo wako wa kufikiria.
 
Nakumbuka ajali ya MV Bukoba,yeye aliuwa Sauz anakula kuku !
Mkapa na yeye walikuwa chaguo la Nyerere,nafikiri na maswala ya kujibu ya hizo corruption scandals wakati wa Mkapa.
 
Back
Top Bottom