Recent content by Harcules

  1. Harcules

    Mke wangu ananikera na hii tabia ya kutokupenda kuvaa nguo

    Unamaanisha atupie kapicha mkuu au?
  2. Harcules

    Warembo wanapagawa na mimi, nifanyaje?

    Siku ukianza kupendwa na mashoga uje utuambie pia
  3. Harcules

    Mbunge wa CCM Viti Maalumu ataka kulia akipinga Bunge kuonyeshwa "Live"

    Akamwone Dr Mwaka kuhusu uo uchungu alionao
  4. Harcules

    Tahadhari ya upepo mkali na mawimbi makubwa tarehe 10 - 11 Mei, 2016

    Walisema ingetokea tarehe 8 na 9. Imebuma sasa wameamua kusogeza utabiri mbele.
  5. Harcules

    Kwa wenyeji wa Arusha, lodge gani ni nzuri na affordable?

    Nenda Raha Leo karibu na mnata wa azimio la Arusha pale kaloleni.
  6. Harcules

    Serikali iweke sheria kali kwa madereva wa daladala

    Siku chache zilizopita wahusika wa mradi wa mabasi yaendayo kasi walitoa onyo kwamba vyombo vingine vya usafiri ukiacha mabasi yenyewe visitumie barabara za mradi huo kwani madereva wa mabasi hayo watakua wakifanya mazoezi. Kutokana na madereva wengi wa daladala kutojali maelekezo hayo...
  7. Harcules

    Nape Nnauye, akana Serikali ya Awamu ya tano kuzuia Bunge Kuoneshwa Live

    Alafu wakaula uo mtama ukiwa umechanganywa na maharage
  8. Harcules

    Msaada: Mwenye possible za mitihani ya form six NECTA 2016 hasa practical kwa PCB

    Kaulize na kule fb, insta utapata tu.....pumbavu kabisa.
  9. Harcules

    Hatari ya Rais kuangushwa kwa maslahi ya mafisadi

    Kwahiyo iyo safari ya mwaka jana inayowahusisha Mukya na KUB ndio imelifikisha Taifa letu apa lilipo? Kama jibu lako ni 'ndio' kuna haja gani ya JPM kuwatumbua majipu viongozi wa serikali ya sisiem? Siangetumbua tu hawa wawili mambo yakae sawa na maisha yaendelee! Kama jibu lako ni 'hapana' uko...
  10. Harcules

    Special thread: Vipuri vya Magari (Car spare parts)

    Mkuu ntapata rotor za mbele za gx 110?
  11. Harcules

    Tujiulize swali hili gumu: Inawezekanaje kodi kukwepwa namna hii wakati serikali ilikuwepo?

    Ahsante mkuu. Na kwakuthibisha iki ulichokisema kuna jipu moja lilikua kwenye bodi ambayo juzi tu JPM kaivunja, chakushanga ilo jipu limeenda kumkalia spika pembeni
  12. Harcules

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wakuu heshima kwenu. Nina gx 110 ya mwaka 2001. Ukiwa kwenye speed zaidi ya 100 km/hr alafu ukakanyaga brake uskani unatetemeka. Speed inapopungua mpaka 80 km/hr usukani unatulia. Tatizo linaweza kuwa ni nini wakuu?
  13. Harcules

    Mkopo nimepewa 25000 (Elfu ishirini na Tano)

    Mkuu umeshajaribu kucheki na wahusika maana kuna wengine wamepata mara mbili.
  14. Harcules

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Uku changanyikeni hali ni shwari kabisa ila watu ni wengi na vijana ni almost 80%
Back
Top Bottom