Special thread: Vipuri vya Magari (Car spare parts)

Special thread: Vipuri vya Magari (Car spare parts)

Wanabodi,
Heshima mbele. Kwa yoyote anayefahamu reputable website za Japan za kuagiza spare parts za magari (used and new) naomba atupie hapa. Nina Fuso mashine inanisumbua nataka niivue niweke nyingine.

Asanteni..
 
Fungua 'www.beforward.jp',ikishafunguka ingia kwenye link ya 'parts',ipo kwa chini kabisa,ila hawana injini za magari yote na spea nyingi,ila kwa fuso nahisi kama niliziona mkuu,ngoja wenye web zingine za spea waje watupe mwangaza
 
Tunauza vipuri vya magari kwa bei ya jumla jumla, kwa maeleza wasiliana kupitia namba 0673260293
 
Vipuri vya magaru tunauza kwa bei ya jumla jumla, tupo Dar,

Kwa mawasiliano piga namba 0673260293
 
Kwa mahitaji ya used spare parts from Japan tuwasiliane 0784822344
 
Wanabodi,
Heshima mbele. Kwa yoyote anayefahamu reputable website za Japan za kuagiza spare parts za magari (used and new) naomba atupie hapa. Nina Fuso mashine inanisumbua nataka niivue niweke nyingine.

Asanteni..
Mkuu fuso yako ina engine gani?
 
nahitaji half cut ya mbele ya vitz old model,kiasi gani wakuu???
 
Vipuri vya magaru tunauza kwa bei ya jumla jumla, tupo Dar,

Kwa mawasiliano piga namba 0673260293

Nahitaji half cut ya mbele ya vitz old model,kiasi gani wakuu???

Hata nose cut pia sio mbaya
 
Nauza used spare parts yeyote ya magari ama spare parts mpya,iwe engine mpaka kitu chochote,ila kwa makubaliano maalum,iwe bmw,volkswagen,range rover,merecdes,jeep etc.kwa aliye na mahitaji anaweza ni pm.
nahutaji taa ndogo ya chini kwnye bampa ya harier highbred ya kushoto mkuu
 
Nauza used spare parts yeyote ya magari ama spare parts mpya,iwe engine mpaka kitu chochote,ila kwa makubaliano maalum,iwe bmw,volkswagen,range rover,merecdes,jeep etc.kwa aliye na mahitaji anaweza ni pm.
Mkuu baterry used N70 nitapata kwa pesa ngapi
 
Back
Top Bottom