BETWEL JACKSON
Senior Member
- Sep 19, 2015
- 117
- 7
- Thread starter
- #41
Hapa kazi tu
Aksante
Hapa kazi tu
kama ni kweli warudihie hela yao
Karibu MUCE!! pia mshukuru mungu maana wengi wamekosa!! Ndo nchi yako hii
Usiwashangae ni siasa zimewaharibu. Wangekuwa na watoto wanadaiwa ada Chuo kikuu wangeelewa. Wao kwa akili zao wanaona ni kama vile unampinga JPM.
Tunamuomba Rais aangalie vijana wapewe hela zote. We are not interested with statistics.
Me mwenzenu mikopo ya wanafunzi nilijua ni milioni kumikumi kumbe ni elfu ishirini kah jamani
Naona kila mahali unaleta siasa
Shame on you
Mkuu ushauri wako ni mzuri sana lakin tatizo kubwa lililopo sasa ada ni kubwa sana iyo 25000 ambayo analipiwa ni kiasi kidgo mno yani hata apewe hizo pesa zote hatoweza lipa ada then akabaki na kitu chochote, labda kwa kumsaidia atafute iyo amount kwa semester hii alipe apewe mkopo alaf akifika chuo appeal wanaweza msaidia kupandisha hicho kiwango ila kwa kusema alipie ada kutoka kwenye boom ataishi maisha magumu sana kwa sasa unaeza kuta ada ni 1500000 embu niambie anaigawa vipi iyo pesa hapo mpka ije ilipe hilo den
Kama huna cha kuchangia ujuwe huna uwezo na maada husika,wewe unaona alivyopata ni kawaida?
Mkuu! Kama kweli anatoka kwenye familia masikini na anamaanisha hivyo! Basi tayali anaishi maisha magumu tena bila ata kuwa na huo mkopo! sasa itakuwaje akipata mkopo maisha yawe magumu kuliko aliyonayo sasa!!!??? Mie nimejaribu kumpa long term solution kwa sababu nafahamu uwezekano wa kuappeal na akafanikiwa ni mdogo sana ukizingatia kuna ambao hawakupata kitu kabisa. Any way, ulichotoa wewe na nilichotoa mie vyote ni ushauri tu, kwa hiyo anazo option mbili, kazi ni kwake kuchagua the best option au kuchanganya zote mbili.
Mwanzoni walipopigwa chini wengine mlilalamika sana saivi board imegawanya gawanya angalau kila mtoto wa mkulima apate japo 25,000/- mnalalamika tena?
Serikali iwafanyie nini sasa?
Ninavyojua mie hiyo ni percentage ambayo serikali inakulipia kwenye ada yako! Sivyo?! Kama ni hivyo boom najua bado liko palepale na kizuri ni kuwa nyie wadogo zetu nasikia limepanda mpaka laki7 kwa mwanzo wa semister na laki5 katikati mwa semister, akili kumkichwa, hiyo 25 msaada wake katika swala zima la elimu yako ni mdogo mno, cha msingi capitalize katika hiyo laki7, omba ndugu wakusaidie kukamilisha pesa ya ada kwanza (bahati mbaya ata ada yenyewe haujasema ni shilingi ngapi) maswala ya malazi na vitu vingine shughulika nayo baada ya kulipa ada kwanza. Na ukifika chuo soma, sio uanze kuendekeza starehe za kipuuzi, hili linatosha kukupa hasira ya kukomaa.
Mkuu nimejaribu uliza hilo tatizo ni kwa wote wamepata mikopo lakin hali ni hiyo hiyo wanapewa asilimia 0 au 2% ukijitahid sana kwa faculty ambazo ni non priority hivyo hata ukiappeal hapo possibilty ya kupata itakuwa ndogo sana maana walichokifanya ni kupunguza lawama wawape meals and accomodation ada wajilipie wenyewe.
Lakini kwa ninachokiona hapa tatizo halijaisha maana watz wengi ni masikin uwezo wa kulipa 1.5m hawana hivyo huwa wanategemea watoto wapate mikopo na wengi wao hujilipia ada wenyewe kutoka kwenye mikopo yao sasa hapa nadhani hakuna namna ni apambane hivo hvo kibishi
Mkuu huyu dogo kasema anatoka familia masikin inamaana hana uwezo wa kulipa iyo ada na ukwel ni kwamba kama hana huo uwezo basi hatoweza ilipa pia hata akipewa pesa ya mkopo kwa sababu wanapewa laki saba kwa muhula huu unaoanza vipindi vingine laki tano sasa tuanzie hapo kwenye laki saba toa direct cost hapo ambapo zimepanda hatari mana tcu nao wameongeza fee yao hapo udsm wanalipa 97400, huko udom ndo usiguse kabisa ni hatari direct cost yao ni nzito sijui dogo anasoma wapi nimeassume hivyo vyuo viwil alaf weka pesa ya hostel hapo unakuta ashatumia laki mbil na zaid kwa direct cost na hostel tu
je hicho kiasi kitakachobaki kitatosha lipa ada tuassume ada ni 1.5m au 1.3m?
Hata akilipa kiasi chote kilichobaki ada bado atabakiwa na deni kubwa tu, sasa ataishije hapo chuo kama pesa yote ameamua lipa ada yani mi sion kwa kutokea hapo labda achangishiwe pesa zimsaidie vnginevyo hatoboi
Mawazo tu yanasaidia mkuu
pole sana maskini jaribu kufatilia ofisini kabisa hivi vitu kuna wakati better ukaenda kabisa kwani umepangiwa kozi gani?