Serikali iweke sheria kali kwa madereva wa daladala

Harcules

Member
Jun 16, 2015
27
7
Siku chache zilizopita wahusika wa mradi wa mabasi yaendayo kasi walitoa onyo kwamba vyombo vingine vya usafiri ukiacha mabasi yenyewe visitumie barabara za mradi huo kwani madereva wa mabasi hayo watakua wakifanya mazoezi. Kutokana na madereva wengi wa daladala kutojali maelekezo hayo tutegemee ajali nyingi zaidi kuliko hiyo apo chini.
ImageUploadedByJamiiForums1462395796.103856.jpg
 
Back
Top Bottom