Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Upepo mkali na mawimbi makubwa vinatarajiwa kuendelea katika ukanda wote wa pwani kwa tarehe 10-11/05/2016.
Mkuu umesahau hii ni serkal ya MizukaHii mamlaka sijui wanatumia vipimo gan mana mara nyingi haiwi kama wanavyotabiri.. na wakikaa kimya ndo majanga hutokea
hahahahaaaa!! Mzuka, mzuka mwanaaaHakuna mamlaka yenye utabiri wa kitapeli kama hii.
Teh na kwenye ufundi nako tunapewa mizuka,.. duh!Mkuu umesahau hii ni serkal ya Mizuka