Recent content by Hans017

  1. Hans017

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anaweza kushitakiwa kwa kutembea na Mke wa mtu?

    Kesi ipo ila ni ya madai labda km amembaka ndo inakuwa jinai
  2. Hans017

    JamiiForums Tanzania Kwa mliotembelea dunia: Hivi kuna nchi yenye traffic police wengi barabarani kama Tanzania?

    Hao sio traffic ni t.r. a hao wanakusanya mapato
  3. Hans017

    JamiiForums Tanzania Nataka nijaribu viagra, ni hatari au?

    Inaonekana wazi nguvu huna na km ungekuwa nazo usingefikiria viagra akili za kuambiwa changanya na zako Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Hans017

    JamiiForums Tanzania Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

    Ujinga wako ndo werevu wako kiba hana misifa na c masikini km wewe jipange Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Hans017

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Jomo KENYATTA Ni Mandela Wa Pili Afrika

    Ingekuwa hapa kwetu sipati picha hiyo midege ya kivita na ma soldiers mitaani yaani tungelala saa 9 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Hans017

    JamiiForums Tanzania Tochi za barabarani sasa faini 200,000. Tanroads wasema faini hiyo ni halali ipo kisheria

    Haya madereva na hilo kaeni kimya km kawaida yenu kulalamika mitaani tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Hans017

    JamiiForums Tanzania Hivi mhaya halisia anatokea wapi mkoa wa Kagera?

    Wahaya uwanja ni wenu cc yetu masikio na macho Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Hans017

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar alienda kama nani mkoani Tanga?

    C yeye tuu jmn wakuu wa mikoa wengi walikuwepo mbali na hilo ni mfanyakazi wa serikali acheni chuki binafsi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Hans017

    JamiiForums Tanzania News:Kipa wa Serengeti boys Ramadhani Kabwili asaini Yanga miaka mitano!!

    Umechangia sh ngapi kwenye usajili mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Hans017

    JamiiForums Tanzania Mbunge kudaiwa faini kwa pesa ya kigeni hii imekaaje?

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Hans017

    JamiiForums Tanzania Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

    Haya wenye ml 10 mke huyo!!!!
  12. Hans017

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

    Messi nae muislamu????
Back
Top Bottom