Nataka nijaribu viagra, ni hatari au?

Nataka nijaribu viagra, ni hatari au?

Viagra zipo tena bei Cheap tu zinauzwa kama pipi hakikisha unakunywa saa moja kabla ya showww na usisahau kurudisha mrejesho
 
We mhenga umekula maharage ya wapi, acha usije mtia mikosi binti wa watu kufia kifuani.
Aisee [emoji50]

Sent from My Android Device
 
Ila jamani vitisho ni vingi mpaka naogopa pia naona noma kwenda famasi nataka nimtafute dogo muuza kahawa nimtume
 
Kutumia viagra za dukani hkikisha hauna tatizo lolote la kiafya linalohusiana na mzunguko wa damu kama vile blood pressure etc.

Kama uliwahi kua na tatizo hilo au pengine unalo na hujui basi usijaribu kabisa maana utafia gest house na utaleta fedheha kwa familia yako.


Kama unawasiwasi na show zako nakushauri tafuta hivi vitu:

Maziwa fresh (angalau glass moja)
Tende ( tunazokula wakati wa mfungo wa Ramadhan)
Asali (yoyote ile nyuki wadogo au wakubwa).

Cha kufanya:

Tende zako zitoe mbegu, unaweza kuhitaji kuanzia tende 20 (kuboresha matokeo yako).

Baada ya hapo, tia maziwa kwenye blenda, tia tende zako zisizo na mbegu, tia vijiko vya asali kuanzia vitatu.

Washa blenda yako ivisage vizuri mpaka viwe juice kabisa.

Baada kukamilisha juice yako tia kwenye kikombe/glass then kunywa kabla ya 1 hour kwenda kwenye show.

Kwa siku hiyo kumbuka kunywa maji ya kutosha kuanzia asubuhi.

Piga show mkuu.
Usisahau kuleta mrejesho.

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.

Kama huwezi kupata hiyo juice hapo juu na umejihakikishia huna tatizo la kiafya basi nenda pharmacy nunua dawa inaitwa Erecto.
Nakushauri ununue kidonge kimoja cha gram 50 tu, meza nusu saa kabla ya mechi then kutana na mpinzani wako.

Usinunue kidonge cha gram 100.
Mkuu umemshauri jamaa Poa sana, Sasa na mie ntumie kaswali apo apo ikiwa uko Maji tayari (Kulewa) na ukatupia ivo vidonge niaje?
 
Aisee habarini, wadau nina ahadi ya kukutana na mdogo wa rafiki ya mke wangu nikampige gemu Ijumaa ijayo. Sasa nataka nikapige gemu la ukweli na kuachana nae mazima.

Sasa juzi nimekaa nikasema nijaribu viagra ili performance ipande nimle kweli kweli japo sina tatizo lolote la kuamsha dude ni mzima 100 asilimia.

Nimejaribu kucheki internet nikaona kama inaweza kuwa na makomplication na ma side effect kibao pia wameandika sijui mpaka daktari akuandikie .

Sasa je nauliza nikienda famasi siwezi kupata na kununua tu kama tunavonunua panado kiulaini??

Pia kama nikila nitarajie nini ?nisije nikala dude likawa halishuki nitashindwa kwenda kazini.

Huyo mtoto ni mzuri anasoma chuo, ashakula pesa zangu nyingi zaidi ya laki 7. Sasa nataka nimlie viagra
Sasa Mkuu iyo laki saba ungewekeza saizi si una boda boda yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom