Recent content by Handsome man

  1. Handsome man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina hela lakini wanawake wananitongoza

    Mkuu huu ndo mda wako wakula matunda kuna mda utaonekana umechoka ko itumie nafasi vizuri,usikatae wakikutongoza
  2. Handsome man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchapiwa mke kunatokana na sababu kuu mbili

    Kijana kwa uandishi wako unaonekana bado hujaingia kwenye ndoa,tuulize wakongwe ndo tunajua sababu haswa
  3. Handsome man

    JamiiForums Tanzania Kozi: Ipi yafaa zaidi - Library and Information au Arts in Social Works?

    Zote sokoni hali ngumu,muhimu fuata moyo wako unataka nn
  4. Handsome man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani akina dada tuhurumieni haya maisha tu

    Mkuu ukiona unapata mahitaji yako kisawa sawa haina haja ya kupata shida
  5. Handsome man

    JamiiForums Tanzania TCU hii kweli haki? E - D, C - C, A - E (ECA Div 2 pts 12) amekosa Marketing, Accountancy & Community Development!

    Mkuu kupata nafasi ya chuo ,si tu kufaulu pekee yake,kuna issue kama za competition kwa vitu alivyoomba,kaeni chini m apply upya,bila hivyo ni tatizo lingine
  6. Handsome man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kaniandikia barua nzito, adai nihame nyumbani nikajipangie maisha yangu

    Kama nyumbani unapata kila kitu mkuu nakushauri endelea kukomaa hapo hapo
  7. Handsome man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Bongo hatuwez kuendelea badala ya kujua jinsi gan ya kuinua viwanda vyetu tunabak kujadili watoto wa mwisho
  8. Handsome man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkapa hospital performs second kidney transplant in the country

    Mafanikio ya awamu hii hongera sana mkuu nchi inakuwa ya kimataifa sasa
  9. Handsome man

    JamiiForums Tanzania Nauza Viatu Hivi

    Mafanikio ya mkuu kuruhusu biashara kama hz nchini hongera sana piga kazi
  10. Handsome man

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mtu mwenye stashahada kumuongoza mtu wenye shahada akiwa kama bosi wake?

    Uongozi sio vyeti KO unataka Mwenye ma PhD mengi ndo awe mkubwa wa nchi haiko hivyo mkuu
  11. Handsome man

    JamiiForums Tanzania WanaJF acheni kutuponda tunaotumia TECNO

    Mkuu shukuru kwa yote maana muheshimiwa kajitahidi kuleta simu nyingi sana ,ko namiini na ww utamiliki hzo simu
  12. Handsome man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najitaidi kulewa ili nimsahau lakini wapi?

    Mkuu mtongoze tena akikukata,apo fanya kama unavyofanya kwa wanawake wengine tu wakikukataa
  13. Handsome man

    JamiiForums Tanzania Dogo Katisha

    Kapanga mabox hayo kwa kuiga unasema katisha?
  14. Handsome man

    JamiiForums Tanzania Wadaiwa sugu kukiona cha moto January hii

    Mashart ya mkopo yana vipqumbele vyake kama ulichokitaja, sawa lakini at end of the day mkopo unaanza kulipwa baada ya kipindi fulan baada ya masomo na hakisem mtu asilipe kisa hana ajira watu walipe ili wengine wa some
Back
Top Bottom