TCU hii kweli haki? E - D, C - C, A - E (ECA Div 2 pts 12) amekosa Marketing, Accountancy & Community Development!

Kwani aliomba wapi? Kama vipi anza kumfundisha kuuza materials
 
Me nadhan atakuwa hakusoma mwongozo waliotoa TCU kwa kuangalia vyuo na course wanazochaguwa wanahitaj ufahulu upii maana kwenye zile form ukikosea imekura kwako arudie kusoma hule mwongozo na ufahulu wake huo course anazohitaj kusoma
 
Mkuu kupata nafasi ya chuo ,si tu kufaulu pekee yake,kuna issue kama za competition kwa vitu alivyoomba,kaeni chini m apply upya,bila hivyo ni tatizo lingine
 
Me nadhan atakuwa hakusoma mwongozo waliotoa TCU kwa kuangalia vyuo na course wanazochaguwa wanahitaj ufahulu upii maana kwenye zile form ukikosea imekura kwako arudie kusoma hule mwongozo na ufahulu wake huo course anazohitaj kusoma
Hawezi kuomba bila kusoma vigezo vya course...
 
O Level alikuwa na Div 2.

Hii inaitwa mbombo ngafu!
Ufaulu wa chini kabisa kwenda chuo ni div2 ya 12 na div 3 ya 13 yaani hao ndo wenye ufaulu wa mwisho sasa nivizuri akaomba vyuo ambavyo havina competition kabisa tena private anaweza kupata. Tatizo wengi hufikiri div2 ya advance inanguvu sana kumbe sivyo badala yake unaenda kuomba accounting ambayo unaenda kucompete na watu wenye div1 kali za egm eca na hge
 
Nimekuelewa shukran!
 
Back
Top Bottom