Kuchapiwa mke kunatokana na sababu kuu mbili

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,648
Kugongewa mke wa ndoa uliyemuoa na wengine nje kunatokana na sababu mbili

1. Hajapata show ya uhakika yaani humgegedi vizuri unadandia kama unadonoa mahindi.

2. Humtunzi vizuri anakuomba hela ya kusuka humpi au humpi matumizi kabisa hata chupi mpya humnunulii anavaa zimetoboka sometime anazishona mpaka na Uzi mweusi. Sasa akikutana na wanaume huko wakampatia laki mbili unadhani kwanini asiwatunuku?

Na ukiona vyote unampa pesa na show mashambulizi ya maana na bado anatoka na mipango ya kando basi tambua ulioaga KAHABA.
 
Mkuu unamaanisha kama mtu hana pesa za kutosha asioe?
mbona vijijini unakuta pesa ni kidogo lakini
watu wanaishi vizuri kwenye ndoa zao.
Mi nadhani umesahau sababu kubwa
kulipiza kisasi. Hayo mengine ni nyongeza.
 
04f.gif
 
Kama mke aliyeolewa SIO malaya, ujue kakukinahi anataka ladha mpya huko nje. Kama wewe mkurya atataka aonje Masai akipandisha morani utamu wake unasikia wapi.

Laah ni madhara ya kuishi huu usemi; THINK LIKE A MAN AND ACT LIKE A WOMAN.

Labda ifike mahali watu waache kufatilia mapenzi yaani wapenzi wao badala yake wafatilie wazazi dada au kaka na watoto maana hao ndo ndugu. Mpenzi ibaki kupeana mahaba tuu akikorofisha vuta mwingine. Huwezi vuta huyu na tupa yule basi unakuwa mtawa kwa hiari.

K' Matata.
 
Aliyesema "moyo wa mwanamke ni msitu mnene" aliona mbali sana.

Kama mwanamke wa kwanza duniani alidanganywa na kukubali, tena kwenye bustani ya edeni yenye kila kitu, yaani yenye maziwa na asali. Je, wafikiri hawa wa zama vyuma kukaza na waliozungukwa na sampuli mbalimbali za wanaume wataacha kudanganywa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom