Dogo Katisha

Dogo Katisha

Jesse Royal

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
323
Reaction score
469
1e91c75b1f6d8c08587e51e6b65d0460.jpg
 
Kwa bongo si ajabu baada ya mwaka ukamkuta ni muuza mkaa/mihogo kwa mtogole au ni bwana shamba Naliendele huko licha ya kuonesha kipaji chake ni kipi
Kuna kipaji gani hapo? hayo maboksi watoto wote wanaweza kutengeneza mtaani.
 
Atafutiwe mfadhili kabla haja poteza direction maaana kibongo bongo bado sanaa
 
Kuna kipaji gani hapo? hayo maboksi watoto wote wanaweza kutengeneza mtaani.
Kuna post jukwaa la jokes nadhani ni ukweli unaoishi.Ukiona unachukia chukia tu bila sababu mafanikio na matarajio ya wengine na huna sababu ya kufanya hivyo tambua wewe ni mchawi na una roho ya kichawi inaishi ndani yako.Labda ulichokosa ni tunguli tu.Hao madogo wanaoweza kuchonga hivyo mtaani wako wapi?mbona hawachongi?tofautisha kuchora na kuchonga.Kama wapo jamii ambamo wewe pia umo inafanyaje ili kuendeleza vipaji vyao?Mmesha muona mtoto ni mbunifu na msanifu majengo nyie mnampa sahani ya miguu ya kuku akauze badala ya kumsaidia akuze ndoto yake iwe kubwa zaidi na kuwa msaada zaidi.Lakini kama mnawaona wapo nanyi mnachukulia kawaida au ni michezo ya kitoto tu nyie ni wachawi kasoro tunguli mnaua wengine kwa kutokuchukua hatua na kuwajibika hata tu kuwaonesha kwa wengine wenyemaono zaidi ili kuwasaidia na kuwajenga watimize ndoto zao.Halafu jnakuja kifua mbele eti hakuna kipaji wewe mwenye kipaji umeunda nini?Uchawi tu
 
Hv nn tofaut kat ya engineering na arts ka vyote vinahusisha creativity? Hapa kwetu naona anaechora picha ya gari anachukuliwa kama anaweza kutengeneza gar akiendelezwa!!!
 
Kuna post jukwaa la jokes nadhani ni ukweli unaoishi.Ukiona unachukia chukia tu bila sababu mafanikio na matarajio ya wengine na huna sababu ya kufanya hivyo tambua wewe ni mchawi na una roho ya kichawi inaishi ndani yako.Labda ulichokosa ni tunguli tu.Hao madogo wanaoweza kuchonga hivyo mtaani wako wapi?mbona hawachongi?tofautisha kuchora na kuchonga.Kama wapo jamii ambamo wewe pia umo inafanyaje ili kuendeleza vipaji vyao?Mmesha muona mtoto ni mbunifu na msanifu majengo nyie mnampa sahani ya miguu ya kuku akauze badala ya kumsaidia akuze ndoto yake iwe kubwa zaidi na kuwa msaada zaidi.Lakini kama mnawaona wapo nanyi mnachukulia kawaida au ni michezo ya kitoto tu nyie ni wachawi kasoro tunguli mnaua wengine kwa kutokuchukua hatua na kuwajibika hata tu kuwaonesha kwa wengine wenyemaono zaidi ili kuwasaidia na kuwajenga watimize ndoto zao.Halafu jnakuja kifua mbele eti hakuna kipaji wewe mwenye kipaji umeunda nini?Uchawi tu
unaishi wapi wewe hata usione watoto kibao wanatengeneza maboksi hayo, mi mwenyewe nimetengeneza sana hayo utotoni na haikua kipaji ni akili za kawaida tu kuangalia na kubandika bandika, angetengeneza kitu ambacho sijawahi kuona hapo kweli ningesema kipaji , wabongo acheni shobo, kwa hiyo unataka aendelezwe kutengeneza viwanja vya maboksi ? au unasema wale watoto wote wanaotengenza magari ya maboksi mtaani wanaweza kutengeneza gari ? au wanaotengeneza midoli ya udongo wanaweza kutengeneza robots ?
 
Hahaaa ila we jamaa eti aendelezwe atengeneze viwanja vya maboksi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom