Freeman Mbowe na Edward Lowassa wameshiriki ibada ya Jumapili ya Matawi kwenye Kanisa la Kilutheri Azania Front

  • Thanks
Reactions: UCD
Kumbeee sasa nimepata logic...

Lowassa Mlutheri

Mbowe Mlutheri

Kanisa la KKKT sasa linatumika na hawa viongozi wa kisiasa directly kumsimanga na kumsema vibaya Mh. Rais JPM na serikali yetu ya wananchi sbb ya uhusiano wa Chadema & KKKT nimeona sasa..
 
Hata hujui mbowe dini gani,unaongea tu ,
 
Country Lutherans[2]
Germany 11,787,811
Ethiopia 7,886,595
Tanzania 6,531,336
Sweden 6,300,000
Indonesia 6,046,321
Denmark 4,400,754
India 4,042,543
Finland 4,031,235
Norway 3,857,463
United States 3,765,362[c]
Madagascar 3,000,000
Nigeria 2,321,000
Netherlands 1,969,755
Nchi rafiki wakubwa wa CHADEMA ni GERMANY..connec dot
Hapa unajiona mjanja sanaaaa.
Waziri wa mambo ya ndani ni dhehebu gani? Tuanzie hapo.
Kwa sababu unataka kujifanya una data kuliko waziri mwenye wizara yake
 
Hapa unajiona mjanja sanaaaa.
Waziri wa mambo ya ndani ni dhehebu gani? Tuanzie hapo.
Kwa sababu unataka kujifanya una data kuliko waziri mwenye wizara yake
Ndiyo mwenzako ametoa takwimu na kuunganisha dots!! Na wewe njoo na hoja mbadala acha kulia kulia tu!!
 
Maskini kumbe ndiyo leo bwana wetu Yesu alikuwa anaingia Yerusalem huku kampanda mwanapunda.

Yote haya ni kwa ajili ya dhambi zangu hizi hizi ili nipate wokovu wa kweli...
 
  • Thanks
Reactions: cdc
Country Lutherans[2]
Germany 11,787,811
Ethiopia 7,886,595
Tanzania 6,531,336
Sweden 6,300,000
Indonesia 6,046,321
Denmark 4,400,754
India 4,042,543
Finland 4,031,235
Norway 3,857,463
United States 3,765,362[c]
Madagascar 3,000,000
Nigeria 2,321,000
Netherlands 1,969,755
Nchi rafiki wakubwa wa CHADEMA ni GERMANY..connec dot
CCM rafiki wa nani?
 
So.???
 
Weka % ya waumini wote na wa dini zote,huenda itasound vizuri. Kuweka tu arithmetic figure haitaonyesha unyeti wa hoja yako.
 
Kumbeee sasa nimepata logic...

Lowassa Mlutheri

Mbowe Mlutheri

Kanisa la KKKT sasa linatumika na hawa viongozi wa kisiasa directly kumsimanga na kumsema vibaya Mh. Rais JPM na serikali yetu ya wananchi sbb ya uhusiano wa Chadema & KKKT nimeona sasa..
Na Sumaye mlutheri!
 
Back
Top Bottom