Recent content by hamisi kumbuka

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nape alifukuzwa umoja wa vijana wa CCM kwa kunyang'anywa uanachama

    Ndugu unaishi dunia gani? Mambo ya kukariri yamepitwa na wakati hii ni dunia ya uwazi na ukweli na sio kuogopana nakushauri badirika ndugu bila hivyo utaonewa kila siku na kuwa mtumwa kwenye nchi yako
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wangu, Mfukuze Nape Uanachama Mara Moja

    Huyu Jamaa so mzima kichwani anataka kuendelea kuishi kwa mazoea
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hili gazeti la Kenya limemdhalilisha Rais Magufuli

    Uungane na nani na kwa lipi?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Yatakuwa ni maagizo tu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

    Photoshop
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo hofu zinavyotugharimu kwenye safari ya ujasiriamali

    Kaka umeelezea ukweli mtupu kuna kitu nimejifunza kwenye haya makala yako
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mashine ya selcome inauzwa

    Kaka kila mtu na tabia zake so kumbadilisha mtu tabia ni ngumu Sana inategemea na makuzi yake
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

    Kweli kaka hapa ukiangalia kwa makini ni visasi tu hakuna kingine
  9. H

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Kumbe Makonda Alizuiwa Kutaja Majina!. Anaamini Uwazi, Atunge By-Law Ataje Majina

    Sasa kimetokea nini mpaka kufikia kutokutaja majina mubashara kama tulivyomzoea Hali hiyo imekuja ghafla kunani hapo au michango mbalimbali ya wachangiaji imemfanya au imemshtua atambue kuwa sheria inamkataza kufanya hivyo au nini kimetokea? Na wale aliokwisha waanika matokeo yake ni nini?
Back
Top Bottom