Msema ukweli ni mpenzi wa mungu na ukweli utabaki kuwa kweli ' Call a spade a spade not a big spoon'Ni sahihi, nape amepoteza sifa za kubaki ccm! Ila anasema ukweli.
Sioni faida kufukuza uanachama mtu kwakusema , kunahaja wanaoambiwa kujitafakari kwa faida yao na nchi.Ewe Mwenyekiti wangu wa chama Chetu pendwa CCM Dk John Magufuli tunaomba kwa kulinda heshima yetu ya serikali na chama tunaomba umfukuze Uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mbunge wa jimbo la Mtama Ndugu Nape Mnauye.
Tunashuhudia kijana huyu akikukosea heshima wewe, serikali na chama chetu.
Nape sio mtu wa kwanza kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri.
Walisha ondolewa Mawaziri wengi ambao mimi nimeshuhudia nikiijua siasa kipindi cha JK lakini sijawahi shuhudia Waziri aliye enguliwa kuendelea kuiandama serikali.
Juzi Kitwanga ulimtumbua lakini kwa heshima ya serikali na Chama Kitwanga alikaa kimya, na hakuzungumza chochote.
Tumeshuhudia Wakuu wa Mikoa wakiondolewa lkn hakuna hata mmoja aliye lalamika na kupiga makelele.
Kwa sasa Nidhamu yaa Nape ktk serikali yako na hata Chama imepungua, ni wazi kwamba huyu ni Mwanachama asiye mtiifu, asiye weza tunza siri za Chama na hata serikali.
Kwa heshima ya chama Chetu na hasa sisi wanachama ambao hatupendezwi na mambo anayofanya Nape tunaomba umvue uanachama.
Nakuomba Mwenyekiti wangu uwe jasiri katika hili, usiogope!!
Kukaa na nyoka ndani ipo siku atakuuma!!
Asante!!
General Mangi
Nape hana lolote kichwani mkuu, angalau Makamba kwa mbali, ila sio huyu kibuyuNape ni generation ya kizazi kipya ndani ya CCM kwahiyo sio wa kumbeza alitumia kila aina ya mbinu kuhakikisha CCM imeshinda uchaguzi wa mwaka 2015. Hotuba kali ya Nape inaonyesha hali si nzuri ndani ya CCM kama mjuavyo Nape ni apprentice wa komrade kinana katika siasa.
Hakuna alichokiongea Nape zaidi ya kurudia zile porojo alizozimwaga siku ile anatumbuliwa.Kwani amefanyaje mpaka afukuzwe. Mleta mada nawe usituletee habari zako za uchama hapa.kaongea ukweli Ina wasumbua sasa.
Nape tokea aanze kuongea ukweli. Nampenda bureeeee.
Sitafuti chochote mkuu!Hivi wewe unatumiwa na nani?au ni Akiliyako pekeyako?je kama ni Akili yako pekeyako unatafuta nini chini ya jua?
Hakinadi chama wala nini zaidi ya unafki na umbea wa kike mkuuMbona Nape majukwani tunamsikia bado anainadi chama, labda lipi aliloliongea baya kwa mtukufu!!!! Hizi zama ni za chuma na teknolojia cyo ya mawe, nahisi bado upo zama za chuma ambapo mtukufu alikuwa hasemwi, hata ccm haina kitu kama hicho!!!
Ewe Mwenyekiti wangu wa chama Chetu pendwa CCM Dk John Magufuli tunaomba kwa kulinda heshima yetu ya serikali na chama tunaomba umfukuze Uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mbunge wa jimbo la Mtama Ndugu Nape Mnauye.
Tunashuhudia kijana huyu akikukosea heshima wewe, serikali na chama chetu.
Nape sio mtu wa kwanza kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri.
Walisha ondolewa Mawaziri wengi ambao mimi nimeshuhudia nikiijua siasa kipindi cha JK lakini sijawahi shuhudia Waziri aliye enguliwa kuendelea kuiandama serikali.
Juzi Kitwanga ulimtumbua lakini kwa heshima ya serikali na Chama Kitwanga alikaa kimya, na hakuzungumza chochote.
Tumeshuhudia Wakuu wa Mikoa wakiondolewa lkn hakuna hata mmoja aliye lalamika na kupiga makelele.
Kwa sasa Nidhamu yaa Nape ktk serikali yako na hata Chama imepungua, ni wazi kwamba huyu ni Mwanachama asiye mtiifu, asiye weza tunza siri za Chama na hata serikali.
Kwa heshima ya chama Chetu na hasa sisi wanachama ambao hatupendezwi na mambo anayofanya Nape tunaomba umvue uanachama.
Nakuomba Mwenyekiti wangu uwe jasiri katika hili, usiogope!!
Kukaa na nyoka ndani ipo siku atakuuma!!
Asante!!
General Mangi
Mkuu unatumia kigezo kipi kutambua uelewa wa nape.... Sioni uhalali wa kupima yaliyo ndani ya fikra za mtu na ' kibuyu'Nape hana lolote kichwani mkuu, angalau Makamba kwa mbali, ila sio huyu kibuyu
Mkuu mimi sina mahaba na ccm na hasa rais huyu... Ila anachokifanyA Nape ni Man to Man show...Mtoa post weka wazi Nape anachokifanya
Wako shopping wenzio.Kwani nape kakufanyia nini hii ni serikali ya ukweli na uwajibikaji unataka wakae kimya?
Si kwa mtindo ule aisee....Kosa lake kuongea ukweli ndio afukuzwe ila hamshindwi kumfukuza
KumbeWako shopping wenzio.
Uelewa wa mtu unaweza kuupima kwa anayoongea au matendo yake!!Mkuu unatumia kigezo kipi kutambua uelewa wa nape.... Sioni uhalali wa kupima yaliyo ndani ya fikra za mtu na ' kibuyu'
Na wewe ni walewale!Ewe Mwenyekiti wangu wa chama Chetu pendwa CCM Dk John Magufuli tunaomba kwa kulinda heshima yetu ya serikali na chama tunaomba umfukuze Uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mbunge wa jimbo la Mtama Ndugu Nape Mnauye.