Mashine ya selcome inauzwa

AK 1

Senior Member
Jun 3, 2015
170
12
Selcome mashine

Inafanya miamala mingi ikiwepo
Luku
Maji
Vifurushi kama airtel tigo vodacom
Tra
Social funds kama nhif lapf
Vingamuzi kama zuku. Azam na vingine

Bei 530000 tu
 
mpya inauzwa 500000 pamoja na salio la kufanyia kazi 200000 bei yako haina uhalisia
hivi watu wengine huwa mkoje jaman mbona mnakuwa na tabia za kiswahili sana mwenzio kapost tangazo kama huitaj acha kama upo hapa kwa ajili ya kucritisize watu bora ufunge tu mdomo hili ni soko huru kila mtu anapost kitu anachotaka hujalazimishwa kununua embu badilikeni bwana khaaaaa
 
hata kama kap[ost milion ni yeye jamani achen tabia za kiswahili mbona hatupendani wewe kama hutaki acha lazima kwani watu mmekaa kusubiri mtu kapost kitu mnacritisize mnakera sana
 
Cjui nn kinakusumbua aiseeee! Acha kuharibu biashara za watu.
hiyo sio biashara ila utapeli kama ungefatilia post za hapa watu wanasaidiana huwezi kumuuzia mtu mashine iliyotumika tena kwa bei juu wakati mpya inapatika kwa bei inayoeleweka pia nahisi hiyo mashine itakuwa ina matatizo
 
hivi watu wengine huwa mkoje jaman mbona mnakuwa na tabia za kiswahili sana mwenzio kapost tangazo kama huitaj acha kama upo hapa kwa ajili ya kucritisize watu bora ufunge tu mdomo hili ni soko huru kila mtu anapost kitu anachotaka hujalazimishwa kununua embu badilikeni bwana khaaaaa
Onaonekani wewe ni yuleyule mwenyemali, ila umesahau watu pia wanahaki ya kucritisize kama wewe ulivyo na haki ya kuuza. Hapa hatuko kukubakiana kila kitu, siumesema jukwaa huru au
 
hivi watu wengine huwa mkoje jaman mbona mnakuwa na tabia za kiswahili sana mwenzio kapost tangazo kama huitaj acha kama upo hapa kwa ajili ya kucritisize watu bora ufunge tu mdomo hili ni soko huru kila mtu anapost kitu anachotaka hujalazimishwa kununua embu badilikeni bwana khaaaaa
Kujua jambo ni jambo jema, biashara za ujanja ujanja hazitakiwi.....wacha ajue mpya inauzwaje alafu afanye maamuzi.....taarifa muhimu....bei pia zinatofautiana na maeneo....ingekuwa unauzwa mkoani nadhani angeongeza japo hata elfu kumi...lakini kwa kuwa IPO mjini na mnunuzi yupo mjini....ni lazima afanye maamuzi sahihi.....Mjini shule sio lazima ukae darasani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom